Ilikuwa taasisi gani hiyoNakumbuka nilifanya interview June nikaitwa kazini October
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa taasisi gani hiyoNakumbuka nilifanya interview June nikaitwa kazini October
Hongera Sana broNakumbuka nilifanya interview June nikaitwa kazini October
For sure wanazingua sana mambo ya kiwaki sanaaHao muce na kazi walishaanza ndo wanatoa majina
Imagine mtu unategemea website ikupe matokeo
Kumbe majibu ni kwa njia ya simu
Hopeless kqbisa
Wanatuwkea mazngira tuanze kuwadhania kuna namna za kupenyezanaUtumishi wanakosea sana sasa nafasi wametangaza wao na interview umefanya kwao utumishi then kuitwa kazini tuanze kupigiwa na taasisi hapo si mambo ya ajabu
Hamna kucheleweshanaVyuo vikuu saf sn mchakto chap chap watu wanafyonza asali mrijani
Upuuzi tu wamepost yanini sasaNajiuliza nini maana ya ile placement
Kama majukumu yamewazidia wange decentralize tu majukumu kwenye taasisi husikaVyuo vikuu saf sn mchakto chap chap watu wanafyonza asali mrijani
Ndio sasa kama mambo yameanza kupigiana simu sinaweza kumpigia mjomba wangu aje apige kazi tuWanatuwkea mazngira tuanze kuwadhania kuna namna za kupenyezana
Najiuliza nini maana ya ile placement
Hawakua na haja,wanamjulisha nani Sasa na huku wahusika wako kwenye payroll tayariNajiuliza nini maana ya ile placement
Yaaan daahUpuuzi tu wamepost yanini sasa
Hapo wana placement za october na nov kama zoteNajiuliza nini maana ya ile placement
Mkuu Muce wlipigiwaga cm kitambo tuu... PSRS walichelewaa kiweka mkekaHaya mliofanya oral muce majina yametoka kama mmepata mje mtuambie hapa
Sawa sasa marehemu amefariki tangu mwezi uliyopita ww unasema leo umemuona umemuona wapi,,,,? 😂😂tuwe na subira mkuu
Sasa ishu ni kwanini wapigie watu simu wakati utaratibu ni kupost kwenye website huo Kwamba kama Mimi ndo nna mamlaka naweza kumpigia hata demu wangu aje afanye kaziMkuu Muce wlipigiwaga cm kitambo tuu... PSRS walichelewaa kiweka mkeka
Subira ipi kaka 🤣tuwe na subira mkuu