Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna bonge la shortlist limebandikwaaaa
Tena sio moja ni mbili..taasisi kama zote.. nilikuona hapa utumishi wanataka kumaliza taasisi zote zenye post chachechache then waje kumalizia MIKEKA ya Taifa ambayo ni TRA and MDA's & LGA's..
Baada watamalizia wa Wizara ya kilimo.. hii MIKEKA mi3 ndo itakuwa ya funga mwaka baada ya kupita hyo MIKEKA yote midogox2
 

Aisee naona na wa IFM wameusahau, sijui kuna nini.
 
Eti mikeka ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…