Huo uzi nmeuandika mimi, nadhani kati ya watu waliokuwa wanawaamini ajira portal ni mimi na sijawahi kujua kuna mambo kama hayo, kama ni uzushi does it mean huyo aliepost hiyo barua anamshukuru Mungu status hiyo barua kajiandikia? Maana ata we ukiangalia placement zilizopo kwenye website now, hakuna placement yoyote inayohusu wizara ya ardhi, na kama we ni mfatiliaji mzuri hapa, nlishiandika uzi kuhusu ajira za wizara ya ardhi placement kucheleweshwa tatizo ni nini? Jana ndo nashtuka kumbe watu walishaitwa kazin, nkaomba mdogo wng aniulizie huyo kaka ilikuaje akasema walipigiwa simu.