Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hello guys. Kwa wakazi wa moshi kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 60 Go and return.
Tutaondoka jumapili tarehe 4/09/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 20 hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini maeneo ya bunge hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge tutakapofikia.
4. Usafiri baada ya matokeo kutoka ( approximately tarehe 6 au 7) kwa wale tutakaofaulu kwenda usaili wa mahojiano kutoka tulipofikia kwenda eneo la usaili wa oral(ofisi za bunge) kwenda na kurudi
5. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Kuanzia saa moja asubuhi (siku baada ya matokeo au second interview)
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 03/09/2022 SAA SITA MCHANA
 
Weka number

Binafsi nimekuwa excited sana kuingia kwenye mrija, muda unazidi kutembea, umri wa utumishi unazidi kukatika.

Kwa hizi Application chache za Utumishi nilizoapply nazifuatilia kwa karibu sana, huku nikiwa na shauku ya kuona mwisho ingawa kiuhalisia najijua ni pagumu sana kutoboa[emoji3][emoji3]

Hivyo nimekuwa mraibu wa kuitembelea website ya PSRS ili kuona kinachojiri.

Aisee, ni kweli kwa namna hiyo ni kweli kuna haja ya kupambania nafasi. Safari hii ni lazima utafanikiwa Mkuu, usikate tamaa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom