makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Mungu mwemaWizara ya afya
Kila jema kwako mpambanajiWizara ya afya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mwemaWizara ya afya
Kila jema kwako mpambanajiWizara ya afya
Kikubwa subra tu kwa kweliSisi wengine ndo kwanza tunalilia kwenda Dom tukafanya Usaili japo tufike Oral interview ya mchongomchongo
Shida ndio pdf imelazwa mnoMungu mwema
Kila jema kwako mpambanaji
Wiki inayoanza hiii haendi bureeeeShida ndio pdf imelazwa mno
We tusubili wa 10Wiki inayoanza hiii haendi bureeee
Ahahaha wa kumi tena mbona mbali mno huwaga mikeka ni miezi miwili miwili baada ya oral placement inatokaWe tusubili wa 10
Mimi nasubiri shortlist NAOT, MNH, ORCIPlacement ijayo itajumuisha
DART,
Mzumbe (MU)
Elimu ufundi stadi (VETA)
Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Muhimbili (MNH)
Ngorongoro (NCAA)
Halmashauri Musoma
Ofisi ya Bunge
Mamlaka ya bandari (TPA)
Chuo kikuu Dar es salaam (UDSM)
Msajili Hazina (TRO)
Chuo cha biashara (CBE)
Huduma ya ununuzi serikalini (GPSA)
Wizara ya Afya
Loading for PDF.........
Unasubiri idara ipi? Tuchangamshe uzi
Mimi nasubiri shortlist NAOT, MNH, ORCI
Tangazo la kuitwa kweny USAILI lilitolewa mbn sema kwny Website yaooMkuu, Mzumbe mbona sijawaelewa.. Yaan leo limetoa tangazo la kuitwa interview halafu nasikia watu walishafanya interview
Tangazo la kuitwa kweny USAILI lilitolewa mbn sema kwny Website yaoo
Duh! Hii imekaaje, inamaana inawezekana taarifa isionekane kwenye website ya utumishi ila ikaonekana kwenye ya chuo husika!?
Bona hawa jamaa wanafanya mambo yawe magumu sana.
Nimeliona aisee nilitaka nije niulize huku kumbe na huku pia mnauliza.Mkuu, Mzumbe mbona sijawaelewa.. Yaan leo limetoa tangazo la kuitwa interview halafu nasikia watu walishafanya interview
Mjmi mwenyewe limenichanganya pia wapo waliopiga interview mdaaa tu wanasubiri placementMkuu, Mzumbe mbona sijawaelewa.. Yaan leo limetoa tangazo la kuitwa interview halafu nasikia watu walishafanya interview
Usijali mkuu, mimi kila siku lazima nichungulie PSRS. Nitaleta mrejesho wa news yeyoteWadau eeeeh, kwenye web ya utumishi kama kutakuwa na new label yoyote mtujulishe humu.. Yaan kama tangazo la kazi, interview au placement maana watu tunashinda humu JF via Freebasics, bando limepanda sana wakuu hvyo hatuwezi kuaccess psrs web kila mda na kila Siku
Jambo jema sanaUsijali mkuu, mimi kila siku lazima nichungulie PSRS. Nitaleta mrejesho wa news yeyote
Usijali mkuu, mimi kila siku lazima nichungulie PSRS. Nitaleta mrejesho wa news yeyote
Kumekucha mkuu, tukae mkao wa kula kwa PDF yoyote ya siku ya leoJambo jema sana
Sawa mkuu.Wakuu tuzidi kupambana na kumuomba Mungu
"Sasa yanadumu haya matatu: Imani, tumaini na upendo; lakini lililo kuu kupita yote ni upendo."