Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Asante mkuu..Mtihani tena?
Kila la kheri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu..Mtihani tena?
Kila la kheri mkuu
Mchongo umegoma[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahahaha!Kwa mikeka mingine Siyo?Tukutane jumatatu
Yeah placement na shortlist 🙏Hahahahaha!Kwa mikeka mingine Siyo?
MUST hawalazi damu wametoa tena nafasi kadhaa, pambania kama una sifa unaweza kuitwa kazini kabla mwaka hujapindukaTukutane jumatatu
Kila la kheri mkuu.Mkp saa HV nawadai utumishi Kaz Kam mbili HV moja tra na nyingine Ni ya heslb
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Binafsi nawadai TRA,bunge, heslb,mambo ya nje,ASA,NAOT na zile za local government.nimepanga nikikosa mojawapo hapo naachana na mambo ya kuajiriwa.Mkp saa HV nawadai utumishi Kaz Kam mbili HV moja tra na nyingine Ni ya heslb
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwiko kukata tamaaaBinafsi nawadai TRA,bunge, heslb,mambo ya nje,ASA,NAOT na zile za local government.nimepanga nikikosa mojawapo hapo naachana na mambo ya kuajiriwa.
Hili nalo neno Wana..Kila la kheri mkuu.
Pia tukibahatika kupata tujitahidi tusiwe na nyodo tukiwa huko kwenye utumishi wakati tunatatua shida za wengine
Mimi nasikilizia NAOT ila probability ya kuwa shortlisted ni kama tunavyobeti tozo zifutweBinafsi nawadai TRA,bunge, heslb,mambo ya nje,ASA,NAOT na zile za local government.nimepanga nikikosa mojawapo hapo naachana na mambo ya kuajiriwa.
Hahahahaha!Mimi nasikilizia NAOT ila probability ya kuwa shortlisted ni kama tunavyobeti tozo zifutwe
Adha tunazopata kwa baadhi ya watumishi kwenye baadhi ya Taasisi ni kichomi sana, bora tuambizane hapa kabisa kabla hawajaingia huko ingawa wakiingia tu lazima wabadilikeHili nalo neno Wana..
Nafasi ni 1 tu na najua watu wengi wameomba ukizingatia hiyo ofisi lazima ni hotcake kila mtu anataka apate access ya mrija wa asaliHahahahaha!
Unakuta mungu ndiyo kakuandalia nafasi hiyo iwe yakoNafasi ni 1 tu na najua watu wengi wameomba ukizingatia hiyo ofisi lazima ni hotcake kila mtu anataka apate access ya mrija wa asali
Hii tabia wanayo hasa wanawake,ila ukikuta mwanaume anatabia za hivyo, za kutoa huduma Kwa nyodo ni wachache sana....Yote juu ya yote, tukifanikiwa tukawe watumishi –wema, ,wenye nidhamu na juhudi katika kutumikia wananchi.Adha tunazopata kwa baadhi ya watumishi kwenye baadhi ya Taasisi ni kichomi sana, bora tuambizane hapa kabisa kabla hawajaingia huko ingawa wakiingia tu lazima wabadilike
Mimi pia nimeomba NAOT,kama Mchumi na Mtakwimu daraja la pili,kimbembe nafasi ni moja tuu....Nafasi ni 1 tu na najua watu wengi wameomba ukizingatia hiyo ofisi lazima ni hotcake kila mtu anataka apate access ya mrija wa asali