Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaha, nimehofia ndugu yetu ni miongoni mwa watoto wa vigogo, ni vigumu sana kwa wao kuelewa kwamba ipo tofauti kubwa kati yao na wa masikini wakigombania fursa inayofanana.

Kuna mmoja hatatumia nguvu nyingi na uwezekano wa kuonekana ni mkubwa, na kuna mwingine atatumia nguvu zote na uwezekano wa kuonwa ni mdogo sana.
Kwa kuwa kila mmoja ana haki ya kuomba kazi bila kujali status yake, tuishi humo humo kwenye race ya kuufikia mrija.

Hii ni sawa na tuko kwenye riadha, kuna watu tofauti(warefu, wafupi, wenye pumzi, mbio kali n.k) na kila mmoja anapambana kushinda.

Kwa yule mrefu, ana pumzi na mbio kali hivi atashindwa kushinda kweli? basi halaiki tupambanie nafasi kuanzia ya pili
 
Kabisa Mkuu, uko sahihi.
 
Aisee huku SUA ni kipute juu ya kipute... Asubuhi tumepokewa na mtihani wa Kiingereza...

Hapa kuna ambao tumeandaa presentation tayar tunasubiria kumenyeka na ma prof... mambo ni tight sana hapa

Mkuu, samahani unaposema mnatakiwa kuandaa presentation unamaanisha unaandaa tu kitu cha kwenda kufundisha uwe nacho kichwani, au ni mpaka kukiweka kwenye PowerPoint?
 
Back
Top Bottom