Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa shida inayojitokeza dogo kwenye PDF yumo lakini kwenye akaunti yake ya Ajira Portal bado System imekaa vile vile na status ya (RECEIVED).

Hii mnashaurije wakuu, kuna yeyote mwenye uzoefu nayo?
 
Hahaha, hapa mdogo wangu ameitwa. Na ukisoma baadhi ya majina utagundua kuna watoto wa vigogo kibao nao wameomba. Kama nafasi yenye namba 1342 ni wa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Ina maana hajatengenezewa vyanzo vya uchumi hadi aanze kuhangaika kwenye hizi Interview! Mzee wa Jalalani naye anamuacha mwanaye jalalani.

Ebu watuachie wengine bana tusiokuwa na access ya mirija ya asali tupambane.
 
Aende akapige mzigo.

Sio kazi rahisi ku-update account 2455 zisomeke shortlisted zote.

Hapa tunalalamika kuwa wanatumia muda mrefu ila hatujui namna wanavyopata tabu kuanzia kuchambua nyaraka lukuki hadi kuja kuandaa PDF ndefu kama hii ya Bungeni
 
Hahaha, uko sahihi sana Mkuu. Hawa ambao wazazi wao wameshatoka kimaisha wasingeachwa wagombanie fursa na watoto wa kimasikini.

Nadhani ndio wanataka kumuingiza mtoto kwenye system hivyo. Na hilo jina naamini kwenye mkeka wa placement za ajira litakuwepo tu. Tuvute subira, tutakumbushana.
 
Aende akapige mzigo.

Sio kazi rahisi ku-update account 2455 zisomeke shortlisted zote.

Hapa tunalalamika kuwa wanatumia muda mrefu ila hatujui namna wanavyopata tabu kuanzia kuchambua nyaraka lukuki hadi kuja kuandaa PDF ndefu kama hii ya Bungeni

Ni kweli Mkuu, asante kwa ushauri mzuri.
 
Hahaha, hapa mdogo wangu ameitwa. Na ukisoma baadhi ya majina utagundua kuna watoto wa vigogo kibao nao wameomba. Kama nafasi yenye namba 1342 ni wa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Acha kuzalilisha watu.kwani kuwa mtoto wa kigogo ndiyo huruhusiwi kuomba kazi utumishi?
Ulitaka yeye apewe uteuzi tu ili upate tena cha kuongea?
 
Nadhani ndio wanataka kumuingiza mtoto kwenye system hivyo. Na hilo jina naamini kwenye mkeka wa placement za ajira litakuwepo tu. Tuvute subira, tutakumbushana.

Daah, sawa mkuu ngoja nitunze hii risiti
 
Acha kuzalilisha watu.kwani kuwa mtoto wa kigogo ndiyo huruhusiwi kuomba kazi utumishi?
Ulitaka yeye apewe uteuzi tu ili upate tena cha kuongea?
Ana haki ya kuomba kazi ila sio kama sisi tusiokuwa watoto wa vigogo.

Yeye kupata mtaji wa biashara sio shida kama shida, baba yake ana mrija wa Asali. Angekuwa ana biashara yake au anasimamia biashara/uwekezaji wa mshua ingekuwa poa sana.

Hapa juzi tumeelezwa kuwa yule dogo(24) wa Simbachawene ni mfanyabiashara, unafikiri katoa wapi mtaji? Kutoka kwenye mrija wa Baba yake.

Tuchukulie kuwa anayo haya yote ninayoyafikiria ila anataka kuingizwa kwenye mrija deeply ndio maana kashauriwa aombe kazi na probalilty yake ya kutoboa lazima 99.9%

Tusubiri mkeka wa placement tunaweza kuja kuthibitisha ukweli au uongo.
 
Sio kila binadamu ana karama ya kufanya biashara mkuu.kuwa mtoto wa kishua sio quarantee ya maisha mazuri.
 
Acha kuzalilisha watu.kwani kuwa mtoto wa kigogo ndiyo huruhusiwi kuomba kazi utumishi?
Ulitaka yeye apewe uteuzi tu ili upate tena cha kuongea?

Asante sana Mkuu, una uwezo mkubwa sana wa kufikiria.
 
Ana haki ya kuomba kazi ila sio kama sisi tusiokuwa watoto wa vigogo.

Yeye kupata mtaji wa biashara sio shida kama shida, baba yake ana mrija wa Asali. Angekuwa ana biashara yake au anasimamia biashara/uwekezaji wa mshua ingekuwa poa sana.

Hapa juzi tumeelezwa kuwa yule dogo(24) wa Simbachawene ni mfanyabiashara, unafikiri katoa wapi mtaji? Kutoka kwenye mrija wa Baba yake.

Tuchukulie kuwa anayo haya yote ninayoyafikiria ila anataka kuingizwa kwenye mrija deeply ndio maana kashauriwa aombe kazi na probalilty yake ya kutoboa lazima 99.9%

Tusubiri mkeka wa placement tunaweza kuja kuthibitisha ukweli au uongo.

Hahaha, nimehofia ndugu yetu ni miongoni mwa watoto wa vigogo, ni vigumu sana kwa wao kuelewa kwamba ipo tofauti kubwa kati yao na wa masikini wakigombania fursa inayofanana.

Kuna mmoja hatatumia nguvu nyingi na uwezekano wa kuonekana ni mkubwa, na kuna mwingine atatumia nguvu zote na uwezekano wa kuonwa ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom