Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna multiple choice ilikuwa ni kuandika mwanzo mwishoMkuu Pepa yote ilikuwa multiple choice ?
aende hivo hivo haina shida.. ilimradi yupo kwenye mkeka yeye aende tuSasa shida inayojitokeza dogo kwenye PDF yumo lakini kwenye akaunti yake ya Ajira Portal bado System imekaa vile vile na status ya (RECEIVED).
Hii mnashaurije wakuu, kuna yeyote mwenye uzoefu nayo?
Hongera sana, andaa slides simple kawapige pindi hadi wasiamini macho yaonimetoboa mkuu.. kesho inshaalah naingia kipute cha pili.. nimeambiwa ni oral na presentation
Ina maana hajatengenezewa vyanzo vya uchumi hadi aanze kuhangaika kwenye hizi Interview! Mzee wa Jalalani naye anamuacha mwanaye jalalani.Hahaha, hapa mdogo wangu ameitwa. Na ukisoma baadhi ya majina utagundua kuna watoto wa vigogo kibao nao wameomba. Kama nafasi yenye namba 1342 ni wa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Aende akapige mzigo.Sasa shida inayojitokeza dogo kwenye PDF yumo lakini kwenye akaunti yake ya Ajira Portal bado System imekaa vile vile na status ya (RECEIVED).
Hii mnashaurije wakuu, kuna yeyote mwenye uzoefu nayo?
Ina maana hajatengenezewa vyanzo vya uchumi hadi aanze kuhangaika kwenye hizi Interview! Mzee wa Jalalani naye anamuacha mwanaye jalalani.
Ebu watuachie wengine bana tusiokuwa na access ya mirija ya asali tupambane.
aende hivo hivo haina shida.. ilimradi yupo kwenye mkeka yeye aende tu
Aende akapige mzigo.
Sio kazi rahisi ku-update account 2455 zisomeke shortlisted zote.
Hapa tunalalamika kuwa wanatumia muda mrefu ila hatujui namna wanavyopata tabu kuanzia kuchambua nyaraka lukuki hadi kuja kuandaa PDF ndefu kama hii ya Bungeni
Ilikuwa inachukua muda Gani ?kulikuwa na maswali ya career yako boss au wamechanganya tu ?hamna multiple choice ilikuwa ni kuandika mwanzo mwisho
ilikuwa ni full career question... yute ya darasaniIlikuwa inachukua muda Gani ?kulikuwa na maswali ya career yako boss au wamechanganya tu ?
thanks mkuu hapa nakesha kwa hiyo.. asante sanaHongera sana, andaa slides simple kawapige pindi hadi wasiamini macho yao
Acha kuzalilisha watu.kwani kuwa mtoto wa kigogo ndiyo huruhusiwi kuomba kazi utumishi?Hahaha, hapa mdogo wangu ameitwa. Na ukisoma baadhi ya majina utagundua kuna watoto wa vigogo kibao nao wameomba. Kama nafasi yenye namba 1342 ni wa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Nadhani ndio wanataka kumuingiza mtoto kwenye system hivyo. Na hilo jina naamini kwenye mkeka wa placement za ajira litakuwepo tu. Tuvute subira, tutakumbushana.
Ana haki ya kuomba kazi ila sio kama sisi tusiokuwa watoto wa vigogo.Acha kuzalilisha watu.kwani kuwa mtoto wa kigogo ndiyo huruhusiwi kuomba kazi utumishi?
Ulitaka yeye apewe uteuzi tu ili upate tena cha kuongea?
Sio kila binadamu ana karama ya kufanya biashara mkuu.kuwa mtoto wa kishua sio quarantee ya maisha mazuri.Ana haki ya kuomba kazi ila sio kama sisi tusiokuwa watoto wa vigogo.
Yeye kupata mtaji wa biashara sio shida kama shida, baba yake ana mrija wa Asali. Angekuwa ana biashara yake au anasimamia biashara/uwekezaji wa mshua ingekuwa poa sana.
Hapa juzi tumeelezwa kuwa yule dogo(24) wa Simbachawene ni mfanyabiashara, unafikiri katoa wapi mtaji? Kutoka kwenye mrija wa Baba yake.
Tuchukulie kuwa anayo haya yote ninayoyafikiria ila anataka kuingizwa kwenye mrija deeply ndio maana kashauriwa aombe kazi na probalilty yake ya kutoboa lazima 99.9%
Tusubiri mkeka wa placement tunaweza kuja kuthibitisha ukweli au uongo.
Acha kuzalilisha watu.kwani kuwa mtoto wa kigogo ndiyo huruhusiwi kuomba kazi utumishi?
Ulitaka yeye apewe uteuzi tu ili upate tena cha kuongea?
Ana haki ya kuomba kazi ila sio kama sisi tusiokuwa watoto wa vigogo.
Yeye kupata mtaji wa biashara sio shida kama shida, baba yake ana mrija wa Asali. Angekuwa ana biashara yake au anasimamia biashara/uwekezaji wa mshua ingekuwa poa sana.
Hapa juzi tumeelezwa kuwa yule dogo(24) wa Simbachawene ni mfanyabiashara, unafikiri katoa wapi mtaji? Kutoka kwenye mrija wa Baba yake.
Tuchukulie kuwa anayo haya yote ninayoyafikiria ila anataka kuingizwa kwenye mrija deeply ndio maana kashauriwa aombe kazi na probalilty yake ya kutoboa lazima 99.9%
Tusubiri mkeka wa placement tunaweza kuja kuthibitisha ukweli au uongo.
Magoli sana mkuu👍ilikuwa ni full career question... yute ya darasani