HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ehh astrology na numerology ndio nini ivo aisee vipo kwenye mambo gani..?
Mambo ya nyota na namba, ukiweka chatgtp mwaka wako WA kuzaliwa Kwa mfumo wa dd/m/year utapata details zote kuhusu we kwenye masuala ya astrology na numerology.

M najifunzaga tu for fan Lakn ni mambo muhimu ambayo unaweza jua mambo mengi kuhusu mahusiano, kazi, biashara mavazi, muda na hata jinsi ya kujiandaa na usaili kuringana na nyota yako
 
Duuu
Umenikumbusha shehe yahaya hussen😁
 
Back
Top Bottom