Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waseme tu hiyo kazi niachie mimi hapa wote nitahakikisha mpo kwenye pdf hata kwahizi anonymous utakuta Mwifwa Prok Ahmet sema ery mendez huyu nitakata jina kwanza status yake ipo not selected
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaidukue PSRS ushushe mambo halafu uombe mpunga mrefu ili uiachie wakishakupa, sepa kaanze life lako la kidon popote Duniani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nikienda bungeni naondoa written ibaki oral tu
Ukiondoa written ukaita watu 5000 si utatumia miaka miwilikuendesha usaili wa mahojiano.

Wayback 2015, PSPRS ilitakanga kwamba itaanza kutumia GPA hata kwa non-academic posts kama screening criterion
 
Ukiondoa written ukaita watu 5000 si utatumia miaka miwilikuendesha usaili wa mahojiano.

Wayback 2015, PSPRS ilitakanga kwamba itaanza kutumia GPA hata kwa non-academic posts kama screening criterion
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Watumie tu GPA kama wanaona ni nyepesi kuzipata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikienda bungeni naondoa written ibaki oral tu
Kwenye mia 5 candidate utachukuaje wachache ukawafanyie oral bila kuonekana umefanya upendeleo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaidukue PSRS ushushe mambo halafu uombe mpunga mrefu ili uiachie wakishakupa, sepa kaanze life lako la kidon popote Duniani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhh we subiri kuna siku itatoka pdf ina majina ya humu yote ili wajue watu wamechoka kusubiri
 
Well said
 
Kila taasisi ya serikali imeanzishwa kwa sheria, na iliundwa na kupewa miongozo yake ya namna ya kupata na kuajiri, kila taasisi na mashirika ya umma. Hii ni kabla ya kuundwa/kupewa nguvu zaidi tume ya ajira psrs katika kusimamia mchakato wa ajira kwa sekta ya umma.

Katika mchakato mzima wa uajiri, kama wakala psrs hu-act kama watchdog baada ya kufanya shortlist kulingana na sifa za waombaji dhidi ya mahitaji ya nafasi kwa taasisi husika. Katika mchakato ni taasisi husika itatuga mtihani wa usahili kuandika, katika panel ya mahojiano lazima kuwe na wataalam toka katika taasisi husika ambao hutoa muongozo na mzima na recomendations.

Sheria za taasisi ikiwemo vyuo vikuu hueleza tu namna ya kumpata mtendaji mkuu na namna maswala ya kinidham yanavyopaswa kuendeshwa. Sheria zipo kimya namna ya kupata wafanyakazi kwa maana ya kuajiri.

Vyuo vikuu vimejipa tu u-special wala sio swala la sheria kama ulivozungumza hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…