Sababu 2 tu zinanikwamisha hapa.
Wapo mkuu, post tangazo la kupotosha kama hautaona wanalikanusha fastMUCE pamoja PSRS wamefanya uhuni wa hali juu na wangekuwepo humu tungeshapigwa a ban tang jana
Selected for oral interviewKwahyo Ahmet Status inasemaje sasa hv kwa upande wa MUCE?
Hiv kwa mfano ulikandwa tasisi flan nafas hiyo halafu wame re-advtise tena... unaweza ombaa tena.
Fani yangu haijakuwa re-advertised, hata siwezi kuomba hapoMuhas wamerudia tangazo lile ambalo waliwakanda wasailiwa wote, kama sijakosea Ahmet nadhani ulifanya hii ebu jaribu tena manaa ushapata uzoefu wa maswali yao. Tena nakumbuka waliita oral tu haikuwa na mchujo.
Unaapply Tena utakuwa na advantage ya kujiandaa vizuri baada ya kuona oral iliyopita ilikuja kwa mfumo ganiHiv kwa mfano ulikandwa tasisi flan nafas hiyo halafu wame re-advtise tena... unaweza ombaa tena.
maana ile ORAL tuliopigwa tulifeli wote
maana nataka niombe hapa... nipen elimu
Unaomba bila wasiwasi wowoteHiv kwa mfano ulikandwa tasisi flan nafas hiyo halafu wame re-advtise tena... unaweza ombaa tena.
maana ile ORAL tuliopigwa tulifeli wote
maana nataka niombe hapa... nipen elimu
Fani yangu nimeona kuna position mbili tofauti.Unaapply Tena utakuwa na advantage ya kujiandaa vizuri baada ya kuona oral iliyopita ilikuja kwa mfumo gani
Omba zote mkuuFani yangu nimeona kuna position mbili tofauti.
sasa ngoja nirudi kulekule walipo nikandaa..
maana ile nyengine wadau wangu walipigwagwaa za kichwa wote written [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo selected for oral baba jeni bye byeπππSelected for oral interview
Omba tena, sahihisha makosa. Naaamini unayakumbuka maswali na sasa hivi unao muda wa kutosha, hivyo utajiandaa vizuri zaidi muda huu.Hiv kwa mfano ulikandwa tasisi flan nafas hiyo halafu wame re-advtise tena... unaweza ombaa tena.
maana ile ORAL tuliopigwa tulifeli wote
maana nataka niombe hapa... nipen elimu
Omba mkuu then uone kama watakushortlist.Hiv kwa mfano ulikandwa tasisi flan nafas hiyo halafu wame re-advtise tena... unaweza ombaa tena.
maana ile ORAL tuliopigwa tulifeli wote
maana nataka niombe hapa... nipen elimu
Mimi nimeapa, endapo wakiita kwa simu kwa kada niliyoifanyia oral, nitawafuata huko kwenye ofisi zao wakanipe ufafanuziSema utumishi najua wapo humu lakini kwa hizi za Muce wametukosea sana ,hatuwezi kuwa tunapoteza muda na nauli halafu wanaitana kwa simu ni dharau kubwa sana hizi kwa hizi zinazofata mkiita kwa simu aseeh mbona tutaelewana tu mwaka huu
Sawa nime waelewaaa... ngoja niedit barua.Omba mkuu then uone kama watakushortlist.
Wakikushortlist nenda kapige tena makando then maamuzi yatakuwa juu yao
Daaahh, kuna Medicinal Chemistry napo waliangushiwa kitu kizito kwenye hii hatuaFani yangu nimeona kuna position mbili tofauti.
sasa ngoja nirudi kulekule walipo nikandaa..
maana ile nyengine wadau wangu walipigwagwaa za kichwa wote written [emoji28][emoji28][emoji28]
Sisi tunajipanga kwa maombi, this time wataelekea kiblaSawa nime waelewaaa... ngoja niedit barua.
nifanye kwel sasa hivi.. niwakilishe majobless vzr
ππππ Utumishi makatili sanaDaaahh, kuna Medicinal Chemistry napo waliangushiwa kitu kizito kwenye hii hatua
Ukishatuma tu anza kusoma mzee siumeona walivyo halafu inaonekana wanauhitaji sana kwahiyo ukikaza tu kidogo unatoboaSawa nime waelewaaa... ngoja niedit barua.
nifanye kwel sasa hivi.. niwakilishe majobless vzr