Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mie show nilikuw naianzia getini

Nakuwa mcheshi Unyunyu mkali

Naingia nacheka nao vzr hata kama wapo serious ntahakikisha naweka ucheshi kidogo then naaanza nao wale kuwapeleleza infrastructure zikoje ndan nataka kuonana na flan yupo? au nauliz na ratiba zake kbs then nasonga mbele nikiingia reception nikimkuta mdada aah ndio kwisha kabisa
Yes yani aombe akutane na secretary wakike hapo hawezi kumgomea
 
Unakodoa kwanza macho broo,alafu unaongeza mwanga wa simu..ukimaliza una log out Kisha una log in..baada ya hapo unarefresh page kwanza [emoji1787] unarudia mara kadhaa kurefresh unalog out Tena then in..unabaki palepale kwenye page unaitazama huku unatafakarii..baada ya muda unaanza kujifariji Haikua rizki bwana,labda Kuna kitu Mungu kaniepushia. Au labda Kuna kitu kizuri kikubwa kaniandalia..hamna bwana labda mfumo imecheza...Aaah basi bwana kwani Mimi wa kwanzaaa...I played my part nifanyeje sasa Iko nje ya uwezo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zoezi Hilo ni kama lisaa hvi basi baada ya hapo unavuka unachapa mwendo..nahisi wenzangu wale wapo kwenye huu Uzi maana baada ya Ile mada ya status kwenye app wakanichek kwa mpigo wote not selected wamevurugwa wakati huo mi nishakaa sawa tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hope umepata experience bwana Mvuta mrija wa asali to be
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]
 
Mimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]
Kuna moja nilishuhudia jamaa anapigiwa simu lakini hii ya muce imeniuma sana Yani mtu anasubiri placement afu watu washapigiwa muda tu leo wanakuja kupost yanini na wakati huo ndugu yangu Ahmet anasubiri pdf lisilo na maana hizi dharau
 
Mimi nlilia humu hadi watu wakanizodoa nkiwaambia kuna watu wanapigiwa simu watu wakataka niua na mawe. Bora mnajionea[emoji23]
Huu upuuzi wa kupigiana simu, endapo ukitokea kwenye hii oral yangu juzi, nitafunga safari hadi ofisini kwao wakanieleze na nitaomba matokeo yangu ya oral ili nijue jinsi walivyonikanda
 
Back
Top Bottom