Unakodoa kwanza macho broo,alafu unaongeza mwanga wa simu..ukimaliza una log out Kisha una log in..baada ya hapo unarefresh page kwanza [emoji1787] unarudia mara kadhaa kurefresh unalog out Tena then in..unabaki palepale kwenye page unaitazama huku unatafakarii..baada ya muda unaanza kujifariji Haikua rizki bwana,labda Kuna kitu Mungu kaniepushia. Au labda Kuna kitu kizuri kikubwa kaniandalia..hamna bwana labda mfumo imecheza...Aaah basi bwana kwani Mimi wa kwanzaaa...I played my part nifanyeje sasa Iko nje ya uwezo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zoezi Hilo ni kama lisaa hvi basi baada ya hapo unavuka unachapa mwendo..nahisi wenzangu wale wapo kwenye huu Uzi maana baada ya Ile mada ya status kwenye app wakanichek kwa mpigo wote not selected wamevurugwa wakati huo mi nishakaa sawa tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hope umepata experience bwana Mvuta mrija wa asali to be