HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yn inabadilika baada ya kufanya hiyo Oral au kabla?

Sina uhakika sana kwa anayeitwa kwa ajili ya oral tuu ila kwa huyo mtu kunakuwa hakuna utofauti wa hayo maneno mana yote yanakuwa na maana moja shortlisted for oral Na selected for oral.

Khs app mm nshamaliza, kaeni kwenye web mana ndo ipo updated.
 
ni baada ya kufanya oral.
 
Umenielewa? Kazi zipo mbili za course yngu moja nimeomba ya pili ndio imegoma and unaposema umri sio kwamba isizidi 30 kwani mi nimezidi?
Hiyo ingine illiopita sidhani kama watashortlist ukiwa 29 atleast unaweka mategemeo
 
Kusubiri mikeka ni stress sana... Kuwaza majibu ya oral ni stress kubwa mno toka siku ya oral stree ni kubwa....nimeishamaliza kuuliza majibu yangu kwenye Chatgpt,capilot,Gemini na Ai seek ila bado presha juu

Mungu akatukumbuke tunaosubiria placements.
 
kuna mdau alisema kupata placement ni mpk upate vidonda vya tumbo . Ukipata vidonda tu ujue placement inafata😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…