HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mmea Jr mkuu pamoja na wengine mnaweza beba Chochote kitu hapa..nilikuwa najibu watu wa business studies ambazo ni wageni kwenye ualimu.

hint nlizompa dogo na tulivyopractise

Good morning class how are you.. okay who can tell us what we learn last time (Enhe Juma, nice ..Amina good mwanaisha nice) so last lesson was well understood.. today we will be covering a topic called entrepreneurship (geuka nyuma Anza kujifanya unaandika)

Uliza who has ever heard the word entrepreneurship? Oscar, nice, halima nice good so entrepreneurship is unafafanua then unauliza who has ever done any business? au who dream to be an entrepreneur Enhe can you tell us which business do you dream to open in the future?

wakimaliza unasema okay so advantages of entrepreneurship (geuka tena jifanye unaandika) geuka anza kutaka moja alf unaexolain, baada ya nyingine...

taja watu wakubwa kwenye business ambazo walianza kama wafanyabiashara wadogo modewji,gsm, bakhresa etc

Hiyo unataja pale juu au ndani ya benefits za entrepreneurship. Be brief pia tabasam taja majina, igiza kuandika ubaoni japo ubao haupo.

Tumia body language mfano mikono icheze tembea japo kusizidi unaposema point simama sehem moja ukimalza ndo umove...all the best kwenu.
 
Haichukui nafasi ya daktari ila inaweza kukupa wazo lililo bora.
 
Tutorial imekubali TAWA tu ndo hawataki mishangazi😢
Ajira zote zinazohusiana na kupitia jeshi usu zina limitation ya umri. Kama umri umesonga mbele usijisumbue kuomba kazi TAWA, TFS, TAWIRI, TANAPA n.k pia ZIMA MOTO, UHAMIAJI, TAKUKURU n.k huko wanahitaji vijana wabichi wanaoweza kuchana msamba.
 
Wakuu sisi ndo atuelewi tumekandwa au imekuwaje tuliomba post ya Admission officer chuo flani baada ya kuchapa written tukaitwa watatu oral dodoma juzi wametoa matokeo kwa kada zote tuliopiga nao kwenye chuo hicho hicho isipokuwa kwa kada ya Admission officer tu sasa swali langu n kuwa tumekandwa wote (tumefeli) au nini ata sielewi aisee
 
Ni ukweli ila kuhusu PCCB mbona mwaka jana watu wameomba na hawakuwa hao vijana wadogo tu, pia inategemea na kazi maana kuna muda wanahitaji maspecialist na saingine lazima utakuwa umegonga age hizo tu
 
Wakuu sisi ndo atuelewi tumekandwa au imekuwaje tuliomba post ya Admission officer chuo flani baada ya kuchapa written tukaitwa watatu oral dodoma juzi wametoa matokeo kwa kada zote tuliopiga nao kwenye chuo hicho hicho isipokuwa kwa kada ya Admission officer tu sasa swali langu n kuwa tumekandwa wote (tumefeli) au nini ata sielewi aisee
Kila siku humu wanashauri kuhusu swala la uvumilivu, hebu subiri uone kama hawatoi majina mengine mbona sisi tunasubiri tu na majina yametoka zaidi ya mia ila tuna subira! Wakati huo endelea kuomba nafasi zingine kupata kazi sio guarantee sana! Kuna kupata au kukosa, au kushtukizwa ata mwakani! Ukikaa standby pressure itakuhusu! Maana kila mkeka utakuwa unakushusha sukari!
 
Mvumilivu hula mbivu
 
Mmea Jr mkuu pamoja na wengine mnaweza beba Chochote kitu hapa..nilikuwa najibu watu wa business studies ambazo ni wageni kwenye ualimu.

hint nlizompa dogo na tulivyopractise

Good morning class how are you.. okay who can tell us what we learn last time (Enhe Juma, nice ..Amina good mwanaisha nice) so last lesson was well understood.. today we will be covering a topic called entrepreneurship (geuka nyuma Anza kujifanya unaandika)

Uliza who has ever heard the word entrepreneurship? Oscar, nice, halima nice good so entrepreneurship is unafafanua then unauliza who has ever done any business? au who dream to be an entrepreneur Enhe can you tell us which business do you dream to open in the future?

wakimaliza unasema okay so advantages of entrepreneurship (geuka tena jifanye unaandika) geuka anza kutaka moja alf unaexolain, baada ya nyingine...

taja watu wakubwa kwenye business ambazo walianza kama wafanyabiashara wadogo modewji,gsm, bakhresa etc

Hiyo unataja pale juu au ndani ya benefits za entrepreneurship. Be brief pia tabasam taja majina, igiza kuandika ubaoni japo ubao haupo.

Tumia body language mfano mikono icheze tembea japo kusizidi unaposema point simama sehem moja ukimalza ndo umove...all the best kwenu.

Ubalikiwe sana mkuu ,,
Lkn hapo ulipouliza good morning ??

Je ni panelist ndiyo wanakujibu ??
 
Et wajuzi wa mambo hapa jf wale aircraft technician & engineer walio fanya interview majuzi hivi mkeka wao unaweza kutoka lini? Wazoefu mnijuze
 
Back
Top Bottom