HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Uvumilivu muhim mkuu zam Yako itafika tuu usiache kusali/kuswali
 
Aah kumbe tutorial assistant nlijua za TAWA ndo zinagoma angalau uwe 29
Na je? kwa tulio chaguliwa TFS na tupo 30 kwa degree na kuna wa 25 diploma maana yake siku ya usaili tusijisumbue kwenda ?! Maana shortlist wametoa tupo maybe kwenye kuingia itakuwa kamzozoπŸ™„
 
Na je? kwa tulio chaguliwa TFS na tupo 30 kwa degree na kuna wa 25 diploma maana yake siku ya usaili tusijisumbue kwenda ?! Maana shortlist wametoa tupo maybe kwenye kuingia itakuwa kamzozoπŸ™„
Nenda wengine hawataenda usikate tamaa kijana wangu
 
Poleni sana msiwe na matarajio makubwa katika kuajiriwa jitahidi kufanya shughuli za kujiongezea kipato na maisha yaendelee. Ajira ikukute una kaajira kako tayari mtaani
 
Poleni sana msiwe na matarajio makubwa katika kuajiriwa jitahidi kufanya shughuli za kujiongezea kipato na maisha yaendelee. Ajira ikukute una kaajira kako tayari mtaani
Haichukui nafasi ya daktari ila inaweza kukupa wazo lililo bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…