Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu mda wa Oral c kila mtu anakuwa adui yako kwa muda uleee(maana kila mtu anacompete apate iyo position).. baada ya pale hatuja taftanagaa labda nikutane nao mara ya pili niwaulizeee.
Hapo ndo huwa mnakosea sasa ukifika pale relax mzee siumeshasoma kutoka home kwahiyo pale unapoongea nao pia inakupa confidence hata yakujua wenzako ni watu wa aina gani na wanauwezo kiasi gani .pia unaweza kukuta wenzio Wana experience na hiyo ishu kuliko wewe kwahiyo pale pale ukajua ufanyaje kujitofautisha nao nafikiri hii kwa TA inaletaka changamoto kwakua kila mtu anakuwa anajiona special
 
mwamba mm nimekutana na makauzuu maana walikuwa watu wamejitoleea palepale..
na washawahi ni simamiia Field
japo nimeshangaaa mnoo wamepigwa za kichwa [emoji28][emoji28][emoji28]
ndio nimeamini UTUMISHI hakuna upendeleeo
 
mwamba mm nimekutana na makauzuu maana walikuwa watu wamejitoleea palepale..
na washawahi ni simamiia Field
japo nimeshangaaa mnoo wamepigwa za kichwa [emoji28][emoji28][emoji28]
ndio nimeamini UTUMISHI hakuna updatendeleeo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tatizo wanaojitoleaga wanakuaga na dhalau sana sisi tuliendaga kupiga interview na wale wanaojitolea kwenye written sasa tukakariri namba zao majibu kuja hawakupita kwenda oral sema wanakuaga na dhalau sana yani hata ukimuuliza hiki kinaendaje Hataki kusema mamaaaae sana
 
Ni kweli
 

Ni human nature mkuu. Ubinadamu kazi asee!
Mimi nilikutana na watu hata kukuelekeza toilet ni shida.
Ila cha muhimu ni kuwasemehe bure.

BE KIND TO EVERYONE ALWAYS
 
Nimepiga interview moja ya TA luckily katika shortlisted for oral hakukua na mwanafunzi wa chuo husika. Ngoja tusubirie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…