Hapo ndo huwa mnakosea sasa ukifika pale relax mzee siumeshasoma kutoka home kwahiyo pale unapoongea nao pia inakupa confidence hata yakujua wenzako ni watu wa aina gani na wanauwezo kiasi gani .pia unaweza kukuta wenzio Wana experience na hiyo ishu kuliko wewe kwahiyo pale pale ukajua ufanyaje kujitofautisha nao nafikiri hii kwa TA inaletaka changamoto kwakua kila mtu anakuwa anajiona specialMkuu mda wa Oral c kila mtu anakuwa adui yako kwa muda uleee(maana kila mtu anacompete apate iyo position).. baada ya pale hatuja taftanagaa labda nikutane nao mara ya pili niwaulizeee.