Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu nadhani kuna Kanuni

Kanuni za ufaulu;
Iwapo wasaili watafungana alama basi mlemavu atapewa nafasi, iwapo hakuna mlemavu basi mwanamke atapewa nafasi, endapo wote ni jinsia moja mfano wote ni mabeberu basi mwenye umri mkubwa atapewa nafasi.
Hili nakubaliana na ww 100% kuhusu umri upo sahihi kabisa mi mwez wa 9 nilipiga oral tutorial assistant nafasi moja tukaingia oral watatu written niliwatupa mbali sana na oral maswali yalikuwa normal sana lkn kuna jamaa pale umri ulikua umeenda sana mpaka nlipomuona nilishangaa finally akala asali wengine tukakandwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utumishi huwa wananifurahishaga hapo Yani mtu hata ajitolee vipi kukandwa kupo pale pale hahhhh
 
Lazima wamuzingatie asije kuzeekea nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…