HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamanii😍 am so proud of you kwakweli ashukuriwe Mungu🥹

Hongera sana sana sanaa!!! Mungu wetu ni muaminifu sana! Hakika ametenda, basi nasisi tuwe wavumilivu tu jambo letu lipo jinaamini huu mwaka ni wetu pia🥰

Sasa m/kiti ukipokea tu mshahara usisahau kutukopesha basi kamtaji mwanetu😅
 
Hongera sana mtumishi mpya! Kwahiyo umepata ualimu au😅 tulikubaliana tukipata wote ndio tukaoane huko tandahimba😂

Sasa sina kazi kwelii🥹
Ni ualimu wenyewe wanasema kidogo chetu ilimrad tumepga hatua moja inabidi tushukuru

Lakn sitaacha kuwapopoa walimu nilipoa kwaajir ya maandaliz ya interview nyingne maana nilikua na received 5

Sasa nitakua na muda wa kuwachamba kwa nguvu zote
 
Nawe Mungu atakufanyia wepes na nakuombea
 
Ni ualimu wenyewe wanasema kidogo chetu ilimrad tumepga hatua moja inabidi tushukuru

Lakn sitaacha kuwapopoa walimu nilipoa kwaajir ya maandaliz ya interview nyingne maana nilikua na received 5

Sasa nitakua na muda wa kuwachamba kwa nguvu zote
Wachambe tu kwakweli ntakusapoti 💯 wanatua aibu sana ata vyuoni kukimbia muda wa lectures 😂😂😂

Tena saiz unapata hiyo posho ukishiba tu hakikisha unakuja kuneua humu😂

Sasa m/kiti mbona mi pia nna received 5 toka uhuru sioni dalili yoyote😢
 
Soma sana, omba Mungu sana, ukitaka na waganga wazur ninao

Utapata usjal
 
Endelea tu kuomba na kufanya saili, utapata
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
toa marks watu wajirithishe unaficha nini wakati hukufanya mtihani wewe? Ili mtu ajue alipata wapi na wapi ajirekebishe..sasa kwanini unatoa mtihani halafu matokeo unabaki nayo.
Mkuu hakuna kanuni inayowalazimisha PSRS watoe matokeo ya oral na hata wakitoa haitakusaidia wewe.

Mimi nakushauri, kwa kuzingatia uzoefu wangu katika utumishi wa umma na nikiwa nimepitia kwenye panel ngumu, jiandae vizuri sana iliyobaki muachie Mungu.


PSRS wamenyooka sana tusio na connection ndio sehemu yetu ya kujidai.

Muda wako ukifika, utarudi hapa kutoa ushuhuda.
 

Hawana baya PSRS
 
hahahahahahahaha ! Kwanza umri hauruhu mstari mwekundu ulishapita, kwasasa napambania wanangu na wajukuu..kama ulibahatika shukuru Mungu lakini kunasehemu wanafikirisha wala usiwatete.
 
Umeongea jambo la maana sana, waongeze nguvu kazi
Recap:

My first comment katika huu uzi was on 02 August 2022. Kwa muda huo nikiwa nasubiri kuwa shortlisted kwenda written ya mkono (kabla Online haijaanzishwa).

Ilikuwa ni wakati mzuri sana kuwa katika huu uzi hadi ndoto zilitimia.

Mnaopitia huu uzi kwa sasa mtambue kuwa kuna maelfu wamepitia hapa na wametimiza ndoto zao za kupata nafasi za Asali kwenye maeneo mbalimbali serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…