Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂amna yule alikuwa hajui kweli mzee hata kama alitupita labda kwa marksi chache sana
Heeee mie Kuna demu alihamiaga form two akawa anaulizaga maswali ya kiboya sana nikajua hakuna akili hapa nikamtogoza aisee ili nimdanganye najua vitu 🤣🤣 majibu yake nikagundua anaakili sana alikua anasoma upepo yule demu alitukanda Toka form two mpaka tunamaliza shule 🤣🤣🤣 na kunikataa akanikataa juu
 
Kijana una ufala mwingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂😂😂Hahhhhh kwahyo anakuuliza anakupima upepo tu aseeh nilishangaa sana kuona amepata
 
Ndoige imemkuta na yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hivyo aisee akarudi zake kuendelea na kujitolea.

Halafu ndio aliomba hiyo post tu, zingine(ORCI, MNH, NAOT) sikumuona labda aliamini atapata huko anakojitolea ila PSRS walijichukulia point kiulaini.

Miongoni mwao mmoja tu ndio niliambiwa alifika oral, ngoja tusubiri placement tuje tuone kama kapita au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…