HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari zenu wakuu?
Naomba. Kuuliza, utajuaje kuwa umefaulu oral ya utumishi au uko database?
Nimefanya oral ya kwanza tarehe 28 Aprill cooperative officer ii,nikafanya oral nyingine tarehe 26 May Quality assurance officer ii mwajiri ni WRRB.but mpaka leo sijasikia chochote,nikiingia kwenye account yangu ya psrs wameandika tu selected for oral interview, nikicheck kwa app na penyewe imeandikwa the same.so nauliza hawa jamaa ili kujua kama umetoboa oral unajuaje?
 
Huwezi kufahamu kama umefaulu oral au hola.. hapo inabid kusubiria pdf tu. #Bestofluck
 
Habari zenu wakuu?
Naomba. Kuuliza, utajuaje kuwa umefaulu oral ya utumishi au uko database?
Nimefanya oral ya kwanza tarehe 28 Aprill cooperative officer ii,nikafanya oral nyingine tarehe 26 May Quality assurance officer ii mwajiri ni WRRB.but mpaka leo sijasikia chochote,nikiingia kwenye account yangu ya psrs wameandika tu selected for oral interview, nikicheck kwa app na penyewe imeandikwa the same.so nauliza hawa jamaa ili kujua kama umetoboa oral unajuaje?
Ukiwa na SELECTED FOR ORAL ya kijani wiki 3 baada ya kufanya Oral una 80% ya kulamba asali
 
Huu usaili wa Oral BOT 🔥🔥 Panel zilihosika na utungaji wa maswali, nia yao ilikua ni kuhakikisha hamna anaejaribu anapata kazi, yani kama wewe sio konki master kwenye kada yako ilikua ni mwendo wa za uso tu, Hongereni sana watakao pata kazi, personal mimi nimejitoa ila sitaacha kushkuru aliyeandaa zile kuku na ndizi zilikua tamu sana na murua kabisa kunipa nguvu yakurudi kijijini kupalilia shamba langu.
 
Au mama kanyimwa pesa ulaya na marekani ko pesa kaelekeza kwenye miradi na matumiz ya kila siku serikalini no ajira mpyaa. HATA HIVYO MWAKA HUU NA MWAKA JANA KAAJILI SANA AISEE. HUYU MAMA UPANDE HUU HATA KAMA HAMUWEZ KWAJILIWA WOTE..........
 
Habari zenu wakuu?
Naomba. Kuuliza, utajuaje kuwa umefaulu oral ya utumishi au uko database?
Nimefanya oral ya kwanza tarehe 28 Aprill cooperative officer ii,nikafanya oral nyingine tarehe 26 May Quality assurance officer ii mwajiri ni WRRB.but mpaka leo sijasikia chochote,nikiingia kwenye account yangu ya psrs wameandika tu selected for oral interview, nikicheck kwa app na penyewe imeandikwa the same.so nauliza hawa jamaa ili kujua kama umetoboa oral unajuaje?
Selected for oral interview both in App na kwenye web.
 
Back
Top Bottom