El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
No pdf at all aiseee INAENDA MWEZI SASA KUNA NINI HUKO UTUMISHI NAZEEKA MIMI JAMANI
Huwezi kufahamu kama umefaulu oral au hola.. hapo inabid kusubiria pdf tu. #BestofluckHabari zenu wakuu?
Naomba. Kuuliza, utajuaje kuwa umefaulu oral ya utumishi au uko database?
Nimefanya oral ya kwanza tarehe 28 Aprill cooperative officer ii,nikafanya oral nyingine tarehe 26 May Quality assurance officer ii mwajiri ni WRRB.but mpaka leo sijasikia chochote,nikiingia kwenye account yangu ya psrs wameandika tu selected for oral interview, nikicheck kwa app na penyewe imeandikwa the same.so nauliza hawa jamaa ili kujua kama umetoboa oral unajuaje?
Ukiwa na SELECTED FOR ORAL ya kijani wiki 3 baada ya kufanya Oral una 80% ya kulamba asaliHabari zenu wakuu?
Naomba. Kuuliza, utajuaje kuwa umefaulu oral ya utumishi au uko database?
Nimefanya oral ya kwanza tarehe 28 Aprill cooperative officer ii,nikafanya oral nyingine tarehe 26 May Quality assurance officer ii mwajiri ni WRRB.but mpaka leo sijasikia chochote,nikiingia kwenye account yangu ya psrs wameandika tu selected for oral interview, nikicheck kwa app na penyewe imeandikwa the same.so nauliza hawa jamaa ili kujua kama umetoboa oral unajuaje?
Endelea kujidanganyaUkiwa na SELECTED FOR ORAL ya kijani wiki 3 baada ya kufanya Oral una 80% ya kulamba asali
Kumbe nn kaka si tulikubaliana ukiwa umejibu vizuri na uhakika ulichojibu uhakika upo na ubaki database baazi ya kada ni 75%Endelea kujidanganya
Kaka nikilamba asali NUSU mshahara ntatoa sadaka yoote kushukuru Munguusijali tunazeeka wengi
Hv hua mnajuaje mmejibu vzr na uhakika?Kumbe nn kaka si tulikubaliana ukiwa umejibu vizuri na uhakika ulichojibu uhakika upo na ubaki database baazi ya kada ni 75%
Fuatilia vizuri utanambiaEndelea kujidanganya
Kwahy umesema n kuwa na oral ya kijani kwa wiki tatu tuu au sio?Fuatilia vizuri utanambia
Huyo jamaa ni muongoKwahy umesema n kuwa na oral ya kijani kwa wiki tatu tuu au sio?
Nikuonyeshe oral yangu ya kijani yenye zaidi ya miaka miwili?
Watu tumepigika na hy oral mpaka tumeshaizoea, tukiona selected for oral Hata hatushtuki.Huyo jamaa ni muongo
Huenda yeye kakaa wiki tatu akapata basi anaona ndio formula inayotumika kwa woteWatu tumepigika na hy oral mpaka tumeshaizoea, tukiona selected for oral Hata hatushtuki.
Bc yeye anakuja na mbwembwe zake
Yangu moja ina zaidi ya week 3 iko green na sijaitwa kazini.Ukiwa na SELECTED FOR ORAL ya kijani wiki 3 baada ya kufanya Oral una 80% ya kulamba asali
WaitYangu moja ina zaidi ya week 3 iko green na sijaitwa kazini.
Nimesema kuanzia wiki3Huenda yeye kakaa wiki tatu akapata basi anaona ndio formula inayotumika kwa wote
Selected for oral interview both in App na kwenye web.Habari zenu wakuu?