HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Utaitwa tu kuna jamaa kaajiriwa toka 2023 ila juzi kaitwa tena Udsm kama Tutorial assistant
Tunachokisema ni kuwa sio guarantee ukiwa na selected for oral inayodumu wiki tatu plus utaajiriwa kama ulivyosema

Tunakuambia kuwa, unaweza kuwa na selected for oral na bado usiajiriwe kikubwa ni kuwa nazo nyingi ujiongezee nafasi ya kuajiriwa
 
wa asilimia kubwa wabongo wanaroho mbaya sana..mdomoni anaweza akawa mtamu wa maneno..machoni akaonesha kuguswa lakini moyoni anagubu.
 
Halafu wanabisha wakati ndo ipogo hivyo na mimi nimefuatilia sana huu uzi toka enzi za kina Mwifwa
Selected for oral interview both in App na kwenye web.
Hv n nyie wnyw tuu Ndo mnaingiaga oral, na kwenye app na web inawaonyesha hvy na ndo kinawafanya muwe na imani hiyo au?

Hayo mambo ya web na app n kujipa imani tuu, Ila hakuna utofauti hapo wala hakuna uhusiano wa ww kupata kazi.

Mm nna oral kwenye app na web miaka miwili sasa na bado sina kazi.
 
Mbaga Jr kuna siku utaamini hiki ninachokisema hapa kaka maana kuna mtu nipo naye taasisi moja alishafanyaga oral toka 2023 ila cha ajabu aliitwa juzi kati tena na alishapata kazi
 
Hv hua mnajuaje mmejibu vzr na uhakika?
Direction ya swali wameekuuliza objective za HRM. Na maswali mengine fanania.

Mfano mm yule panel niliona swali la pili aliwekea 16 hahaha πŸ˜‹ πŸ˜† ila panelist ni noma ngoja tuone majibu kiza kikizid......
 
Hv hua mnajuaje mmejibu vzr na uhakika?
Direction ya swali wameekuuliza objective za HRM. Na maswali mengine fanania.

Mfano mm yule panel niliona swali la pili aliwekea 16 hahaha πŸ˜‹ πŸ˜† ila panelist ni noma ngoja tuone majibu kiza kikizid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…