HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kikubwa ni kulamba asali ukipata check no hizo nyingine watajua wenyewe hata wakiweka vifungashio poa tu
Nimecheka walahi!Arafu.kupata sehemu nzuri ni ufahulu au bahati?Yaani aliyepata 97 anaweza pangiwa Halmashauli na aliyepata.50 akaenda kwenye taasisi au wizara?
 
Nimecheka walahi!Arafu.kupata sehemu nzuri ni ufahulu au bahati?Yaani aliyepata 97 anaweza pangiwa Halmashauli na aliyepata.50 akaenda kwenye taasisi au wizara?
Nahisi inategemea na nafasi ulioomba ipo mda au lga popote kwenye uhitaji wanakupeleka tu

Mm nimevizia sana za wizara naona kila nikifanya writen chaliii
 
Cheti chcht kinafaa, kuverify n Kwa mwanasheria sio Rita.
 
Direction ya swali wameekuuliza objective za HRM. Na maswali mengine fanania.

Mfano mm yule panel niliona swali la pili aliwekea 16 hahaha 😋 😆 ila panelist ni noma ngoja tuone majibu kiza kikizid......
16 chini ya ngapi?
 
Kwa Mwanasheria tunaenda ku Certify true copy of original. Ila unaposema ku verify ni ishu kama ulisoma nje ya nchi Inabid TCU wa verify.
Hapa nlikua naulizia ishu ya birth certificate sio academic certificates. Mana kule ajira portal kuna sehemu ya kuweka birth certificate
 

Kwa Mwanasheria tunaenda ku Certify true copy of original. Ila unaposema ku verify ni ishu kama ulisoma nje ya nchi Inabid TCU wa verify.
Swali lilikua hili hapa kitanywe 1
 
Vyeti vyote n kwa mwanasheria
Ahsante. Mana kuna mtu alikua anasema inabidi kule ajiraportal ni-delete ile copy ya cheti cha kuzaliwa kile cha zamani afu niende rita niombe kubadilishiwa cheti nipewe cheti cha huu mfumo mpya (au niombe RITA wa-verify hiki hiki cheti cha zamani), afu niende tena kwa mwanasheria apige mhuri kwenye copy afu ndo ni applod teba ajira portal.
 
Hapana usikitoe, cha msingi n mhuri wa mwanasheria tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…