HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hallo JF members. Pole na majukumu. kwa wale waliowagonjwa na wenye shida mbali mbali Mungu atuondolee.
Amen

Tuendelee kuwa na imani Mungu yupo na huwa anafanya Matendo ya ajabu ambayo yapo juu wa utashi wa binadamu. Kila mtu amiini kwa imani yake kusali na kuomba bila kupungukiwa na iman na kwa kiwango kile kile

Niwatakie asubuhi njema
 
Na PHTS 1.1 ni sawa na sh ngapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…