it personal
Member
- Dec 26, 2023
- 6
- 5
Ofcouse yupo vzr lakn mm sio huyo mshikajiKazi nzuri Detective [emoji1992]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcouse yupo vzr lakn mm sio huyo mshikajiKazi nzuri Detective [emoji1992]
Nilifikiri hvyo pia ila nadhani Ni watu wawili tofautiBro, humu kuna akili kubwa, sema watu mnachukulia poa uzi, sasa unajaribu kumpumbaza nani?! You are the same guy, unajisema?! Umeona utengeneze account nyingine baada ya kujulikana wewe ni 'utumishi wako fair' yote haya unafanya kwa ajili ya nini?!
Umeona ehee kaka anatuchulia poa watu ICT me namwonaga tu kitambohaya maswali nimejiuliza sana sijapata majibu maana hizo pdf nazifatilia sana maana hata mimi nasubiria hizo placement. Ict security tulifanya nao oral tareh 15 mwezi wa 11 na walikuwa wa 4 na bado hawajaitwa kazini wote.
safi umechambua vzr kaka nimeitafuta hiyo security siioni unless labda kama yeye ni programmer wale wawili ila ye kakazana securityhiyo ni tofauti security ni ulinzi wa mifumo ya tehama hiyo ya kwenye pdf ni network management Ict officer
IT tunamuomba PDF liwe limeshibaIT shusha PDF jobless tule mwaka mpya vzr
Ofcouse me nimejiunga Jana tu baada ya kuona jamaa ana danganya ila me sio huyo mshikajiNilifikiri hvyo pia ila nadhani Ni watu wawili tofauti
Wadau mbona nimeshawaambia huyu jamaa hajapata kazi, mniamini asiwasumbuehaya maswali nimejiuliza sana sijapata majibu maana hizo pdf nazifatilia sana maana hata mimi nasubiria hizo placement. Ict security tulifanya nao oral tareh 15 mwezi wa 11 na walikuwa wa 4 na bado hawajaitwa kazini wote.
Sawa, kwahiyo uliona jamaa anadanganya ukiwa hauna account JF, uzi ulikuwa unausoma kupitia account ya nani? umejiunga jana ukitokea wapi mkuu?Ofcouse me nimejiunga Jana tu baada ya kuona jamaa ana danganya ila me sio huyo mshikaji
Huko ni salary tu hakuna posho, labda uwe Head of dpt, head of faculty,nkHumu hakuna wadau wanaopiga kazi vyuoni wazee wa PUTS na PUSS watupe dondoo za maokoto huko ukiondoa salary
Vipi kuhusu Research Mkuu?Huko ni salary tu hakuna posho, labda uwe Head of dpt, head of faculty,nk
Wale wenye research na projects?Vipi kuhusu Research Mkuu?
No research ..No right to speak brother..posho zipo mbonaHuko ni salary tu hakuna posho, labda uwe Head of dpt, head of faculty,nk
Posho zipo ..sjajua ww unaingia kama instructor or technical staffHumu hakuna wadau wanaopiga kazi vyuoni wazee wa PUTS na PUSS watupe dondoo za maokoto huko ukiondoa salary
Technical staff mkuu, Lab TechnicianPosho zipo ..sjajua ww unaingia kama instructor or technical staff
Mfano instructor (from tutorial assistant up to senior lecture) kila mwaka wanatoka nje kuwasupurvise wanafunzi field..kila staff anachukua almost 1.8m+...Kuna za kuusimamia paper..kumark..kusimamia final year..senior lecture wanapewa pia na housing allowance.....kwa technical hawa wa puss(kuna posho za kuandaa lab)....mitihan pia sometimes wanasimamia....posho za sikukuu..posho za research kama ulikuwa engaged kama technical kweny hyo research..kusafiri utasafiri sana kama unajua vitu au upo karibu na ma prof wenye project kubwa kubwa..hii nmesema nna ushahidi nayoPosho zipo ..sjajua ww unaingia kama instructor or technical staff
Mkuu Bulensiaga una uhakika na hili ?Huko ni salary tu hakuna posho, labda uwe Head of dpt, head of faculty,nk
Posho wanazo mkuu..Huko ni salary tu hakuna posho, labda uwe Head of dpt, head of faculty,nk
Zipo ..sababu ukiandaa lab ..sometimes mnafanya hadi night so mnajaziwa extra duty..sometimes mnakuja hadi jumamosi so allowance mnapata..labda boss au na sababu zake....ndo maana mwaka Jana staff wengi sana wameamia kuja vyuo vikuu kutoka halmashauri.Technical staff mkuu, Lab Technician
Hili swali hawezi jibu😂😂😂Sawa, kwahiyo uliona jamaa anadanganya ukiwa hauna account JF, uzi ulikuwa unausoma kupitia account ya nani? umejiunga jana ukitokea wapi mkuu?