Mfano instructor (from tutorial assistant up to senior lecture) kila mwaka wanatoka nje kuwasupurvise wanafunzi field..kila staff anachukua almost 1.8m+...Kuna za kuusimamia paper..kumark..kusimamia final year..senior lecture wanapewa pia na housing allowance.....kwa technical hawa wa puss(kuna posho za kuandaa lab)....mitihan pia sometimes wanasimamia....posho za sikukuu..posho za research kama ulikuwa engaged kama technical kweny hyo research..kusafiri utasafiri sana kama unajua vitu au upo karibu na ma prof wenye project kubwa kubwa..hii nmesema nna ushahidi nayo