Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unaweza ukawq senior lecture na usipewe idara..ila hizi extra duty ..watu wa technical ndo wanazifaidi sana..lakini wahasibu hizi pesa zinapita kwao..na wao pia huwaga wanaponea humo humo..ila hasa technical like(IT,Electrical,Civil,Plumbing,medical Lab) N.k ..na wakuuu wa idara kweny kila form lazima na yeye awepo
Lab hela haikwepeki sababu lazima utafute Specimen hasa kwenye Biology, Fisheries,
 
Utumishi wako fair , kakimbilia wapi?
Mkuu Nipo ,nilikuwa nafanya mizunguko ya kutafuta viwalo kidogo huku Dar es salaam ... Si unajua masuala ya Utumishi nini... Vikaunda suite vya hapa na pale...

Ila uzi unasikitisha sana, yani nahisi hata huyo IT akiona hayo Ma PDF anaendelea kukalia yani... Mtu hana ajira ana discuss salary 🤣🤣 ila okay anyway...

Ila kiukweli lazima ujue sehemu unapoenda , wanakulipaje cz hicho kitu kina affect the whole life yako, unless upate chance ya kuhama....

Na jobless wengi ,akili kama zimewehuka.... Yani hapo ulipo ndio upo nafasi ngumu zaidi ya kuingia kwenye system yani ukiingia kwenye system kuhama ni rahisi kuliko wewe kupata kazi...Maana kuna rundo la wasahiliwa....

Alafu jua kupata kazi ni bahati na wakati ,unaweza ukawa unajua sanaa na still ukasubiri mpka bahati yako ifike na wakati wako....

Hivyo hivyo ,kupata kazi Taasisi still ni bahati cz wale wanachagua tu, Vuta wanavuta...

Hence;- ila hata kama hutaki sehemu ukipangwa usiende fata barua, zikija interview nyengine kafanye ukipangwa tena halmashauri usiende...wewe subiria tu mpka siku upangwe taasisi kama mimi huku.
 
Karudi jamani Njooni😂😂😂
 
Kuna watu wanadai kuwa hujapata Kazi,Ila umesema kuwa umepata kazi ili kupunguza stress
 
🤣🤣 Kaka so yanini nidanganye yani napata faida gani?? Hivi unajua maumivu ya ujobless wewe?? ...Boss Mimi nimeshajipata.... Na evidence nitakayoitumia ni siku nafika offcn nitakuwa nawapigia picture from monday to friday but bila kuonyesha sura yangu... Tena nitakuwa nawaambia leo naenda kazini navaa nguo fulani... Yani mfano muda huu nasema kesho naenda kazini navaa suruali fulani na shati rangi fulani nikifika napiga picture week mfululizo hapo mkishindwa amini basi..

Nitapiga picture magari yale ya SU, but nitaficha number ... Yani sitaki niweke wazi taarifa za siri that means ..but nataka niwaaminishe ..kuwa Bila connection unaweza pata kazi kitengo
 
Mimi nilikuwa muhanga kweli wa ajira, na nilikuwaga napigaga ramli kweli kweli... But honestly Nimepata kazi ..na ni sehemu nzuri sana... Na siwezi fikiria kuhama kabisa ...kwa mazingira tu niliyoyakuta ...nafikiri carrier yangu ita grow much fast nikiwa pale .. cz kuna mazingira rafiki yote ... Muwe na imani hakuna connection kila mtu ana siku yake atapata tu ajira.
 
Barua yako umekuta wameisani siku nyingi zilizopita au ilisainiwa ivi karibuni? Maana wanatabia barua ilishainiwa kitambo mtu anaenda chukua miezi miwili baadaye baada ya pdf.
 
Hapa Duniani hakuna kitu kigumu na kizito kama subra.... But kila mwenye kusubiri Basi yupo pamoja na Allah...
Uwe mwingi wa kusubiri...kama rafiki yako alipata kazi, jamaa yako alipata, na unaona shuhuda humu watu wamepata kazi...Basi hata wewe zamu yako ipo utapata....Wote humu tulikataa kukata tamaa tukaamua kuwa na subira hatimaye Mwenyezi Mungu akatupa sehemu bora sana, zaidi ya zile tulizozihitaji.
 
Barua yako umekuta wameisani siku nyingi zilizopita au ilisainiwa ivi karibuni? Maana wanatabia barua ilishainiwa kitambo mtu anaenda chukua miezi miwili baadaye baada ya pdf.
Niwe Mkweli barua yangu ilikuwa signed siku za karibuni haizidi Week...

Ila kwa majamaa niliokutana nao wao walisainiwa muda kidogo...cz ukishapokea inakuwa imefungwa kwenye bahasha ndogo ,so wanakwambia shuka hapo ufungue uisome... Uhakikishe kama ndio yenyewe... So nilikutana na jamaa kama wawili...wao ilikuwa imesainiwa muda kidogo. Cz ile furaha ya pale kumuonyesha mwenzako ni kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom