Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Utumishi shusheni PDF la maana aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon jobless jiandaen kwenda masijala ya wazi ndani ya sku Saba.[emoji3][emoji3]Utumishi shusheni PDF la maana aiseee
Tuendelee tu kuvuta subira...Kwangu inakaribia kuisha miezi 3 toka nifanye oral na inasoma SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kote yaan app & web. Na bado hawajatoa placement ya kada yangu kabisa. Na haujawahi kubadilika toka nifanye hiyo oral.
Hakika MkuuTuendelee tu kuvuta subira...
Lab hela haikwepeki sababu lazima utafute Specimen hasa kwenye Biology, Fisheries,Unaweza ukawq senior lecture na usipewe idara..ila hizi extra duty ..watu wa technical ndo wanazifaidi sana..lakini wahasibu hizi pesa zinapita kwao..na wao pia huwaga wanaponea humo humo..ila hasa technical like(IT,Electrical,Civil,Plumbing,medical Lab) N.k ..na wakuuu wa idara kweny kila form lazima na yeye awepo
Kwani uko peke yako?Lab hela haikwepeki sababu lazima utafute Specimen hasa kwenye Biology, Fisheries,
Kashaitwa kazini. Siku 14 za kujiandaa zimeisha😅😅Utumishi wako fair , kakimbilia wapi?
Utumishi wako fair , kakimbilia wapi?
Mkuu Nipo ,nilikuwa nafanya mizunguko ya kutafuta viwalo kidogo huku Dar es salaam ... Si unajua masuala ya Utumishi nini... Vikaunda suite vya hapa na pale...Utumishi wako fair , kakimbilia wapi?
Karudi jamani Njooni😂😂😂Mkuu Nipo ,nilikuwa nafanya mizunguko ya kutafuta viwalo kidogo huku Dar es salaam ... Si unajua masuala ya Utumishi nini... Vikaunda suite vya hapa na pale...
Ila uzi unasikitisha sana, yani nahisi hata huyo IT akiona hayo Ma PDF anaendelea kukalia yani... Mtu hana ajira ana discuss salary 🤣🤣 ila okay anyway...
Ila kiukweli lazima ujue sehemu unapoenda , wanakulipaje cz hicho kitu kina affect the whole life yako, unless upate chance ya kuhama....
Na jobless wengi ,akili kama zimewehuka.... Yani hapo ulipo ndio upo nafasi ngumu zaidi ya kuingia kwenye system yani ukiingia kwenye system kuhama ni rahisi kuliko wewe kupata kazi...Maana kuna rundo la wasahiliwa....
Alafu jua kupata kazi ni bahati na wakati ,unaweza ukawa unajua sanaa na still ukasubiri mpka bahati yako ifike na wakati wako....
Hivyo hivyo ,kupata kazi Taasisi still ni bahati cz wale wanachagua tu, Vuta wanavuta...
Hence;- ila hata kama hutaki sehemu ukipangwa usiende fata barua, zikija interview nyengine kafanye ukipangwa tena halmashauri usiende...wewe subiria tu mpka siku upangwe taasisi kama mimi huku.
Kuna watu wanadai kuwa hujapata Kazi,Ila umesema kuwa umepata kazi ili kupunguza stressMkuu Nipo ,nilikuwa nafanya mizunguko ya kutafuta viwalo kidogo huku Dar es salaam ... Si unajua masuala ya Utumishi nini... Vikaunda suite vya hapa na pale...
Ila uzi unasikitisha sana, yani nahisi hata huyo IT akiona hayo Ma PDF anaendelea kukalia yani... Mtu hana ajira ana discuss salary 🤣🤣 ila okay anyway...
Ila kiukweli lazima ujue sehemu unapoenda , wanakulipaje cz hicho kitu kina affect the whole life yako, unless upate chance ya kuhama....
Na jobless wengi ,akili kama zimewehuka.... Yani hapo ulipo ndio upo nafasi ngumu zaidi ya kuingia kwenye system yani ukiingia kwenye system kuhama ni rahisi kuliko wewe kupata kazi...Maana kuna rundo la wasahiliwa....
Alafu jua kupata kazi ni bahati na wakati ,unaweza ukawa unajua sanaa na still ukasubiri mpka bahati yako ifike na wakati wako....
Hivyo hivyo ,kupata kazi Taasisi still ni bahati cz wale wanachagua tu, Vuta wanavuta...
Hence;- ila hata kama hutaki sehemu ukipangwa usiende fata barua, zikija interview nyengine kafanye ukipangwa tena halmashauri usiende...wewe subiria tu mpka siku upangwe taasisi kama mimi huku.
Hivi wewe jamaa unajua kweli maana ya it personal kweli au unavuta jina unajipachika boss wangu??Ofcouse me nimejiunga Jana tu baada ya kuona jamaa ana danganya ila me sio huyo mshikaji
Tunaendelea tulipoishia haya Sasa😂😂😂Hivi wewe jamaa unajua kweli maana ya it personal kweli au unavuta jina unajipachika boss wangu??
🤣🤣 Kaka so yanini nidanganye yani napata faida gani?? Hivi unajua maumivu ya ujobless wewe?? ...Boss Mimi nimeshajipata.... Na evidence nitakayoitumia ni siku nafika offcn nitakuwa nawapigia picture from monday to friday but bila kuonyesha sura yangu... Tena nitakuwa nawaambia leo naenda kazini navaa nguo fulani... Yani mfano muda huu nasema kesho naenda kazini navaa suruali fulani na shati rangi fulani nikifika napiga picture week mfululizo hapo mkishindwa amini basi..Kuna watu wanadai kuwa hujapata Kazi,Ila umesema kuwa umepata kazi ili kupunguza stress
Barua yako umekuta wameisani siku nyingi zilizopita au ilisainiwa ivi karibuni? Maana wanatabia barua ilishainiwa kitambo mtu anaenda chukua miezi miwili baadaye baada ya pdf.Mimi nilikuwa muhanga kweli wa ajira, na nilikuwaga napigaga ramli kweli kweli... But honestly Nimepata kazi ..na ni sehemu nzuri sana... Na siwezi fikiria kuhama kabisa ...kwa mazingira tu niliyoyakuta ...nafikiri carrier yangu ita grow much fast nikiwa pale .. cz kuna mazingira rafiki yote ... Muwe na imani hakuna connection kila mtu ana siku yake atapata tu ajira.
Niwe Mkweli barua yangu ilikuwa signed siku za karibuni haizidi Week...Barua yako umekuta wameisani siku nyingi zilizopita au ilisainiwa ivi karibuni? Maana wanatabia barua ilishainiwa kitambo mtu anaenda chukua miezi miwili baadaye baada ya pdf.