makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Basi placement za waliotangulia haziko mbaliIJA, DIT, Mwalimu Nyerere n.k
Ngoja tusubiri wiki inayoanza au wiki ya mwisho wa mwenziBasi placement za waliotangulia haziko mbali
Nimeziona ingawa PDF hakuna, MUHAS Pdf ipo ila kwenye portal bado sizioni
😂😂😂😂Unataka kumuua jobless na stressHahahahaa, unawekuta huyo mmoja kashaitwa kwa simu
Sawa mkuu, Ahsante kwa muongozoKila pamelist anatoa marks kwa kilaswali lililoulizwa, kumbuka majibu wanakua nayo na ikitokea marks zimediverge sana lazima uhojiwe kama huna conflict of interest
Hahaaa noma sana😂😂😂😂😂Hahhhh ishu inakuaga umekopa bando afu kuingia kwenye app unakuta ile not selected na rangi nyekundu aseeh utajilaumu kwanini umekopa bando
Kiongozi unafaa kabsa kuwa PSRS ili mtukande na mkimaliza kutukanda unatupa kabsa haya madaraja ya ujobless
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Interesting.....
Iwepo category ya Jobless aliyeingia oral zaidi ya mara moja na anaendelea kusubiri Placements(Prok ), Jobless ambaye yupo kanzidata ingawa kujua kama yupo ni vigumu, Jobless ambaye anareceived kwa mara ya kwanza na akiwa bado haijaitwa written
Hahahahahaa, ndugu zangu wa IT inabidi waokoe jahazi hapa
😂😂😂😂Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana supKabisa Mkuu, watu wa IT hawapaswi hata kulalamika hawajaitwa usaili, wanashindwa kabisa kujiita wenyewe?
Hawa TPA wanataka form 6 lever kabisa ee, tena wenye Div I au II. Wameenda mbali wakataka uwe na miaka isiyozidi 21.View attachment 2415650
Shukrani sana kwa ushauri mkuuMkuu, pole kwa changamoto. Kiuahalisia hiyo scenario ni ngumu, inaviashiria kwamba mkataba unaweza usikuvutie, pengine kwa kigezo cha mshahara au masharti mengine ya kazi. Kama mkataba unavutia, wasingesita kukuonyesha ili waweze kupata huduma yako.
Huo ulikuwa upande wa kwanza, wa pili inawezekana mkataba ni mzuri ila wenye mamlaka wamejaribu kila mbinu kuweka mtu wao ila imeshindikana na wewe ndiye umeonekana unasifa zaidi ya wengine walioiomba, wanachotaka kufanya nikukukatisha tamaa ili uachane nao, wapate kisingizio cha kuweka mtu wao.
Ambacho nashauri, usiwatumie maHr kuujua mshahara, watumie wafanyakazi wengine, hata walinzi, jenga nao urafiki ujue vima vya mishahara vya nafasi husika au hata nafasi nyingine ili uweze kukadiria nafasi yako inaweza kurange kiasi gani.
Kama Ofisi inamaisha magumu, kila mfanyakazi ni lazima yanamgusa na anatamani kuulizwa ili aropoke, kwa hiyo majibu utayapata tu.
Hizi tume ambazo zinakuja na majibu ya mchongo, unakumbuka Tume ya Mto Mara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha! Sawa Mkuu, ushauri mzuri sana, kama ambavyo kwa sasa Serikali inaunda tume kila siku, tutaunda tume ya majobless sugu walitazame kwa kina hili la madaraja kisha walete ripoti yao juu ya kipi kiongezeke.
Chuo walikwama sana, walishindwa kuweka ulinzi ili hao developer wasiweze kuingia tena kwenye mfumo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana sup
Wamesema endapo uko kwenye public service, age haina shidaShidq ni hiyo age [emoji23][emoji23][emoji23]
ivi ni kweli utumishi wame postpon mchakato wa pdf ya usaili kwasabu ya muda kutokutosha kumaliza mchakato ?mwenye kujua hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana sup
Elezea vizuri tukueleweivi ni kweli utumishi wame postpon mchakato wa pdf ya usaili kwasabu ya muda kutokutosha kumaliza mchakato ?mwenye kujua hili
😂😂😂😂Kwamba samaki wamekula tope wakafaHizi tume ambazo zinakuja na majibu ya mchongo, unakumbuka Tume ya Mto Mara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Isije ikafuata nyayo hizo..
Hapana hawajapostpon mzee hakunaga huo muda kutosha au kutokutosha hii process ni continuesivi ni kweli utumishi wame postpon mchakato wa pdf ya usaili kwasabu ya muda kutokutosha kumaliza mchakato ?mwenye kujua hili