Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa TPA wanataka form 6 lever kabisa ee, tena wenye Div I au II. Wameenda mbali wakataka uwe na miaka isiyozidi 21.
IMG_20221113_182741_432~2.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Interesting.....

Iwepo category ya Jobless aliyeingia oral zaidi ya mara moja na anaendelea kusubiri Placements(Prok ), Jobless ambaye yupo kanzidata ingawa kujua kama yupo ni vigumu, Jobless ambaye anareceived kwa mara ya kwanza na akiwa bado haijaitwa written

Hahaha! Sawa Mkuu, ushauri mzuri sana, kama ambavyo kwa sasa Serikali inaunda tume kila siku, tutaunda tume ya majobless sugu walitazame kwa kina hili la madaraja kisha walete ripoti yao juu ya kipi kiongezeke.
 
Kabisa Mkuu, watu wa IT hawapaswi hata kulalamika hawajaitwa usaili, wanashindwa kabisa kujiita wenyewe?
😂😂😂😂Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana sup
 
Mkuu, pole kwa changamoto. Kiuahalisia hiyo scenario ni ngumu, inaviashiria kwamba mkataba unaweza usikuvutie, pengine kwa kigezo cha mshahara au masharti mengine ya kazi. Kama mkataba unavutia, wasingesita kukuonyesha ili waweze kupata huduma yako.

Huo ulikuwa upande wa kwanza, wa pili inawezekana mkataba ni mzuri ila wenye mamlaka wamejaribu kila mbinu kuweka mtu wao ila imeshindikana na wewe ndiye umeonekana unasifa zaidi ya wengine walioiomba, wanachotaka kufanya nikukukatisha tamaa ili uachane nao, wapate kisingizio cha kuweka mtu wao.

Ambacho nashauri, usiwatumie maHr kuujua mshahara, watumie wafanyakazi wengine, hata walinzi, jenga nao urafiki ujue vima vya mishahara vya nafasi husika au hata nafasi nyingine ili uweze kukadiria nafasi yako inaweza kurange kiasi gani.

Kama Ofisi inamaisha magumu, kila mfanyakazi ni lazima yanamgusa na anatamani kuulizwa ili aropoke, kwa hiyo majibu utayapata tu.
Shukrani sana kwa ushauri mkuu
 
Hahaha! Sawa Mkuu, ushauri mzuri sana, kama ambavyo kwa sasa Serikali inaunda tume kila siku, tutaunda tume ya majobless sugu walitazame kwa kina hili la madaraja kisha walete ripoti yao juu ya kipi kiongezeke.
Hizi tume ambazo zinakuja na majibu ya mchongo, unakumbuka Tume ya Mto Mara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Isije ikafuata nyayo hizo..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana sup
Chuo walikwama sana, walishindwa kuweka ulinzi ili hao developer wasiweze kuingia tena kwenye mfumo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi Fulani pale Udom ule mfumo wa matokeo ulitengenezwaga na wanafunzi wa Cive sasa wakawa wanajua kuuaccess kwahiyo walikuwa wanajiwekea A enzi hizo hata kama ana sup
ivi ni kweli utumishi wame postpon mchakato wa pdf ya usaili kwasabu ya muda kutokutosha kumaliza mchakato ?mwenye kujua hili
 
Back
Top Bottom