HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tanesco hatimae wametoa nafasi za kazi kule utumishi
Swali Kada ya biashara hamna nafasi je wameshindwa kutoa kwasababu kunawatu wengi wapo kwenye databank?
 
Habari, ndugu wateja na wadau.

Wakati wa kutoa ajira kada za biashara na zingine, ikifika itatangazwa kwa maana ajira hua zinatangazwa kutokana na huitaji.

Asante. ^FL
 
Habari, ndugu wateja na wadau.

Wakati wa kutoa ajira kada za biashara na zingine, ikifika itatangazwa kwa maana ajira hua zinatangazwa kutokana na huitaji.

Asante. ^FL
haina shida mkuu acha tupambane na hizi zilizotoka tuje tuongeze nguvu ya matusi uko wakati wa kunyanyua nguzo... 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…