Wa 8Kuanzia mwezi wangapi hizi?
😂😂😂😂Orci bado??Watu wa PURA, PPRA, AQRB, TBC, NACVET, WMA, nk
😂😂😂😂Baba jeni bye byeHaya wazee wa status mkuje huku
Nadhani wametangulia za muhimuKuna taasis zmeachwa
😂😂😂We yakwako si bado mzee?Mikando imekuja kwa speed kali sana
Hizo wametoa kupunguza kelele lakini mkeka wenyewe ulioshiba bado unakuja kesho [emoji23][emoji23]Nadhani wametangulia za muhimu
Walizotoa chache sana aseehWatu wataanza kutukimbia humu maana wadau walikuwa na mizuka kama yote
Page zenyewe nne tu mkuu labda zakwenu hazijatoka maana wametoa taasisi chacheYan nimedownload pdf alafu nikasach jina la kibantu la babu yangu Alafu inaandika NO MATCH kulaleki
amna mwezi ujao mzee😂😂😂Hizo wametoa kupunguza kelele lakini mkeka wenyewe ulioshiba bado unakuja kesho [emoji23][emoji23]
Watu washakula NDOIGE yan unawaza kulala usiku PSRS wanakuja kuondoa usingiz wote....Hamna aliyepata kati yetu humu?
😂😂😂😂Sidhani waje sasa watupe feedback ya statusWatu washakula NDOIGE yan unawaza kulala usiku PSRS wanakuja kuondoa usingiz wote....
Kuna mwamba kule juu alizungumzia kuhusu wanawake labda ndo kilichotokeaSema hizi post mbona kama wanawake wamepata wengi sana aseeh[emoji3526]
aseeh maana katika watatu unakuta wanawake wawili men mmojaKuna mwamba kule juu alizungumzia kuhusu wanawake labda ndo kilichotokea