Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yan nimedownload pdf alafu nikasach jina la kibantu la babu yangu Alafu inaandika NO MATCH kulaleki nikapgwa na ganzi
 
Yan nimedownload pdf alafu nikasach jina la kibantu la babu yangu Alafu inaandika NO MATCH kulaleki
Page zenyewe nne tu mkuu labda zakwenu hazijatoka maana wametoa taasisi chache
 
Sema hizi post mbona kama wanawake wamepata wengi sana aseeh☺️
 
Back
Top Bottom