Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

MIMI NASUBIRI PLACEMENT TOKA MWEZI WA NNE HAIJATOKA, NAENDELEA KUA NA SUBIRA NAJUA WAKAT UTAFIKA TU MAMBO YATAKUA POA
 
Asa mwanangu kwa research findings za namna hii, status inakosa vp meaning....daah
😂😂😂😂Lazima Zina maana mzee unapoprogramme system kila kitu kina maana lakini sema hatujajua zinamaanisha nini mzee
 
Hahaaaa ule usahili wa TRA waliokusanyika pale uwanja wa Taifa kwa mkapa ndio niliamini hii nchi iko kwenye hali mbaya ,duh ! Wasakatonge wengi kama siafu ,duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Ila utumishi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…