Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe na imani ulifanya taasisi ganiMIMI NASUBIRI PLACEMENT TOKA MWEZI WA NNE HAIJATOKA, NAENDELEA KUA NA SUBIRA NAJUA WAKAT UTAFIKA TU MAMBO YATAKUA POA
Asa mwanangu kwa research findings za namna hii, status inakosa vp meaning....daah😂😂😂😂Ndio ndio afu kwenye app wawili selected for watatu not selected for
Zamazao hiziSema hizi post mbona kama wanawake wamepata wengi sana aseeh☺️
Mambo 50 50 hayo mzeeaseeh maana katika watatu unakuta wanawake wawili men mmoja
😂😂😂😂Lazima Zina maana mzee unapoprogramme system kila kitu kina maana lakini sema hatujajua zinamaanisha nini mzeeAsa mwanangu kwa research findings za namna hii, status inakosa vp meaning....daah
Tunakoelekea Sasa sio kuzuri aseehMambo 50 50 hayo mzee
Wizara ya kilimoTuwe na imani ulifanya taasisi gani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha tumpee tabu kwanza Mr Jobless wizy
Zama za bi mkubwa mzee wanwake wana kampeni yao tukae kwa kutulia tuTunakoelekea Sasa sio kuzuri aseeh
aiseeh ngoja tuwe wavumilivuWizara ya kilimo
Sawa mkuu, tuendelee na maombiMkuu life is a struggle
Wengi wameitwa ila wachache ndio waliochaguliwa
Cha muhimu ni kuomba Mungu tuwe kwenye hilo kundi la wachache.
😂😂😂Kampeni yao inashika kasi sanaZama za bi mkubwa mzee wanwake wana kampeni yao tukae kwa kutulia tu
😂😂😂Kampeni yao inashika kasi sanaZama za bi mkubwa mzee wanwake wana kampeni yao tukae kwa kutulia tu
Kusubiri sub hadi mwaka mzima napo ni tabu tupuNasikia Sasa hivi kukaa database utumishi Ni ndani ya mwaka mmoja.
Ni kweli?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaaaa ule usahili wa TRA waliokusanyika pale uwanja wa Taifa kwa mkapa ndio niliamini hii nchi iko kwenye hali mbaya ,duh ! Wasakatonge wengi kama siafu ,duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Ila utumishi
Afisa kilimo ii
Yan mwezi wa nne mpaka Leo Bado duhMIMI NASUBIRI PLACEMENT TOKA MWEZI WA NNE HAIJATOKA, NAENDELEA KUA NA SUBIRA NAJUA WAKAT UTAFIKA TU MAMBO YATAKUA POA