Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kama uliwahi kuwa na Check number halafu ukaacha kazi, ni vigumu kurudi kwa njia ya kawaida(kuapply) labda urudi kwa njia nyingine(ya connection)Naomba kuuliza kwa waelewa wa utumishi, hv ikatokea mtu alikuwa serekalini hapo kabla then akawa aliacha kazi na kufanya kazi kwenye private kwa miaka kama Saba hv na Sasa ameomba na kupata kazi serekalini tena na ikabainika mtu huyo tayari alikuwa na check number, inaweza kuathiri Ajira yake?