Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama uliwahi kuwa na Check number halafu ukaacha kazi, ni vigumu kurudi kwa njia ya kawaida(kuapply) labda urudi kwa njia nyingine(ya connection)
 
Kheee, ebu sreenshot tuone
 
Kwa wale wanaoenda kufanya interview za tutorial assistants ambazo zinafanywa kwenye vyuo husika na sio Dodoma, hii barua ya utambulisho wa mkazi inakuwa addressed kwenda sekretarieti ya ajira au unaiadress kwenda chuo husika ?
 
Me ningewashauri tu nyie mnaosubiri placements muendelee na mambo mengine pamoja na kuangalia michongo mingine, otherwise niwajuavyo utumishi unaweza ukawa na matumaini nao sana then wakaja wakakusuprise ukabaki kuwa disappointed.
Sawa sawa maana disappointment ya PSRS inavurugaga akili
 
Kwa wale wanaoenda kufanya interview za tutorial assistants ambazo zinafanywa kwenye vyuo husika na sio Dodoma, hii barua ya utambulisho wa mkazi inakuwa addressed kwenda sekretarieti ya ajira au unaiadress kwenda chuo husika ?
Tusubiri waje wadau
 
Usi Complicate maishaa mkuu.
Mm Barua, Huwa natumiia hiyohiyo Moja kwa kila INTERVIEW ninayo itwaa. kikubwa picha yako na muhuri uwepoo.
 
Sawa mkuu, but hiyo barua yako wewe unayoitumia kila interview imekuwa addressed kwenda wapi ? Au barua za utambulisho haziwi addressed maana mi sijawahi hata kuiona but nmeuliza tu incase ntakuta hiyo option.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…