Naona wapo wachache kuliko nafasi zilizopo wakienda written wasije ishia ukoπ wakose idadi ya oralMDA's & LGA's ngoma shortlist imepandishwa, hakuna mtihani wa mchujo, Oral moja kwa moja.
Wamepelekwa Oral moja kwa moja.Naona wapo wachache kuliko nafasi zilizopo wakienda written wasije ishia ukoπ wakose idadi ya oral
Wame
Wamepelekwa Oral moja kwa moja.
Watu wa MDA NA LGAs mmelia sana haya Sasa ngoja tuwaone
Labda ratio inaruhusuWatu zaidi ya 300 wanafanyiwa Oral? Mbona wengi sana
Mimi pia nimeuzika sana, hapo kwenye MDAs na LGAs wamezingua, kada nyingine tumewekwa benchi bado.Duuuh, hili pdf nilidhani la maana kumbe kada chache tu.. yaan wamedonyoa kidogo tu wale wa Lga and mda
Wamekula JackpotWame
Wamepelekwa Oral moja kwa moja.
Kama wanaohitajika ni 150, hiyo idadi ya kuitwa oral ipo sawa, tena ukute wengine wanaweza kwenda kukandwa nawasifikishe marks za kufaulu oral.Watu zaidi ya 300 wanafanyiwa Oral? Mbona wengi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpandishaji mikeka anaangalia mpira kwanza ngoja uishe tuone mapdf
Pole mkuu, endeleza subira, mnaweza kuja kuitwa kwenye oral kama hawaMimi pia nimeuzika sana, hapo kwenye MDAs na LGAs wamezingua, kada nyingine tumewekwa benchi bado.
Wengi wamekatwa, sijui wametumia vigezo gani, akianza post feedback katika accounts tutajua basis za selection.Wamekula Jackpot
Inawezekana sababu watu wa oral ni wengi probably na mara nyingi usaili unafanyika siku Moja kuhofia kuvuja,pengine wakimaliza hao wanatoa zingineMimi pia nimeuzika sana, hapo kwenye MDAs na LGAs wamezingua, kada nyingine tumewekwa benchi bado.
Awe amefunga akifunga hakuna Cha pdf Wala Niniπ€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akitoka kwenye mpira anaenda kulewa au kulala
kumbe una ajira,ndo sababu una jeuri ya kuandika hayo.Labda ni share exprience yangu na Jobless kuwa tafadhali msichague kazi na mahala kwa kuanzia wakati mwingine unapata uzoefu ili uku-back up kusonga mbele zaidi.Binafsi,mie ni Mhenga ambaye ajira yangu ya kwanza ilikuwa kwa Mhindi kama Sales Person nikizunguka kutafuta masoko na jua na joto lote la DSM likawa linaishia kichwani kwangu huku nikilipwa kima cha chini miaka hiyo TZS 30,000/.Hata hivyo,uzoefu wa kazi hiyo ya Mhindi ndio ulionipatia kazi nilipoenda interview kwenye shirika kubwa la umma ambapo Mshahara na marupurupu yalikuwa mazuri sana. Ushauri wangu ni kuwa Jobless unatakiwa kuanza kuchagua ukiwa na kitu mkononiNimeajiriwa kitambo sana ila nimesema tu, hata kama ningekuwa na shida ya ajira huko nisingeenda, wangapi wamekataa kazi kwa kuona mazingira sio wezeshi?
Njaa zenu ndio hufanya mnaparamia kila kazi, mkishapata mnaanza kulia na kushinda kwa waganga.
Pambania kesho yako katika ndoto kubwa, hizi ajira za zinazohusishwa na kila wilaya unaweza kuziepuka kabisa.
Nchi hii kuna maeneo unaenda kufanya kazi ambapo kiuhalisia SERIKALI au KAMPUNI inafaa ikulipe na fedha zingine za mazingira magumu kazini. Hizo wilaya mm nikiwa Rais nchi hii nawapa na posho ya mazingira magumu.
Kweli aseeh Asante kwa ushauri kiongozikumbe una ajira,ndo sababu una jeuri ya kuandika hayo.Labda ni share exprience yangu na Jobless kuwa tafadhali msichague kazi na mahala kwa kuanzia wakati mwingine unapata uzoefu ili uku-back up kusonga mbele zaidi.Binafsi,mie ni Mhenga ambaye ajira yangu ya kwanza ilikuwa kwa Mhindi kama Sales Person nikizunguka kutafuta masoko na jua na joto lote la DSM likawa linaishia kichwani kwangu huku nikilipwa kima cha chini miaka hiyo TZS 30,000/.Hata hivyo,uzoefu wa kazi hiyo ya Mhindi ndio ulionipatia kazi nilipoenda interview kwenye shirika kubwa la umma ambapo Mshahara na marupurupu yalikuwa mazuri sana. Ushauri wangu ni kuwa Jobless unatakiwa kuanza kuchagua ukiwa na kitu mkononi
Naunga mkono hoja,mtu anaongelea hapa jirani bahi,wakati kuna watu wanapangiwa kazi kakonko-kigoma au Kyerwa-Karagwe wanakwenda na maisha yapo yanaendelea.Huyu atakuwa mtoto wa mamaHuyo ni wale wanoishi nyumbani na kudekezwa na akina mama
Kila anachohitaji anapewa,bado ananukia maziwa ya mama
Watu wameoangwa buhigwe na kibondo bado wanaenda yeye anasema bahi,kongwa na mpwapwa hapafai kuwa na makazi ya watu?
Wanaoishi kule ni tumbili?
ππππππππkumbe una ajira,ndo sababu una jeuri ya kuandika hayo.Labda ni share exprience yangu na Jobless kuwa tafadhali msichague kazi na mahala kwa kuanzia wakati mwingine unapata uzoefu ili uku-back up kusonga mbele zaidi.Binafsi,mie ni Mhenga ambaye ajira yangu ya kwanza ilikuwa kwa Mhindi kama Sales Person nikizunguka kutafuta masoko na jua na joto lote la DSM likawa linaishia kichwani kwangu huku nikilipwa kima cha chini miaka hiyo TZS 30,000/.Hata hivyo,uzoefu wa kazi hiyo ya Mhindi ndio ulionipatia kazi nilipoenda interview kwenye shirika kubwa la umma ambapo Mshahara na marupurupu yalikuwa mazuri sana. Ushauri wangu ni kuwa Jobless unatakiwa kuanza kuchagua ukiwa na kitu mkononi
Kama wanaohitajika ni 150, hiyo idadi ya kuitwa oral ipo sawa, tena ukute wengine wanaweza kwenda kukandwa nawasifikishe marks za kufaulu oral.