Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimeajiriwa kitambo sana ila nimesema tu, hata kama ningekuwa na shida ya ajira huko nisingeenda, wangapi wamekataa kazi kwa kuona mazingira sio wezeshi?

Njaa zenu ndio hufanya mnaparamia kila kazi, mkishapata mnaanza kulia na kushinda kwa waganga.

Pambania kesho yako katika ndoto kubwa, hizi ajira za zinazohusishwa na kila wilaya unaweza kuziepuka kabisa.

Nchi hii kuna maeneo unaenda kufanya kazi ambapo kiuhalisia SERIKALI au KAMPUNI inafaa ikulipe na fedha zingine za mazingira magumu kazini. Hizo wilaya mm nikiwa Rais nchi hii nawapa na posho ya mazingira magumu.
kumbe una ajira,ndo sababu una jeuri ya kuandika hayo.Labda ni share exprience yangu na Jobless kuwa tafadhali msichague kazi na mahala kwa kuanzia wakati mwingine unapata uzoefu ili uku-back up kusonga mbele zaidi.Binafsi,mie ni Mhenga ambaye ajira yangu ya kwanza ilikuwa kwa Mhindi kama Sales Person nikizunguka kutafuta masoko na jua na joto lote la DSM likawa linaishia kichwani kwangu huku nikilipwa kima cha chini miaka hiyo TZS 30,000/.Hata hivyo,uzoefu wa kazi hiyo ya Mhindi ndio ulionipatia kazi nilipoenda interview kwenye shirika kubwa la umma ambapo Mshahara na marupurupu yalikuwa mazuri sana. Ushauri wangu ni kuwa Jobless unatakiwa kuanza kuchagua ukiwa na kitu mkononi
 
Kweli aseeh Asante kwa ushauri kiongozi
 
Huyo ni wale wanoishi nyumbani na kudekezwa na akina mama
Kila anachohitaji anapewa,bado ananukia maziwa ya mama
Watu wameoangwa buhigwe na kibondo bado wanaenda yeye anasema bahi,kongwa na mpwapwa hapafai kuwa na makazi ya watu?
Wanaoishi kule ni tumbili?
Naunga mkono hoja,mtu anaongelea hapa jirani bahi,wakati kuna watu wanapangiwa kazi kakonko-kigoma au Kyerwa-Karagwe wanakwenda na maisha yapo yanaendelea.Huyu atakuwa mtoto wa mama
 
kumbe una ajira,ndo sababu una jeuri ya kuandika hayo.Labda ni share exprience yangu na Jobless kuwa tafadhali msichague kazi na mahala kwa kuanzia wakati mwingine unapata uzoefu ili uku-back up kusonga mbele zaidi.Binafsi,mie ni Mhenga ambaye ajira yangu ya kwanza ilikuwa kwa Mhindi kama Sales Person nikizunguka kutafuta masoko na jua na joto lote la DSM likawa linaishia kichwani kwangu huku nikilipwa kima cha chini miaka hiyo TZS 30,000/.Hata hivyo,uzoefu wa kazi hiyo ya Mhindi ndio ulionipatia kazi nilipoenda interview kwenye shirika kubwa la umma ambapo Mshahara na marupurupu yalikuwa mazuri sana. Ushauri wangu ni kuwa Jobless unatakiwa kuanza kuchagua ukiwa na kitu mkononi
👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom