Hivyo vitu kama vitatokea pamoja na siku Moja pale ofisini watakupa utaratibu utawaeleza situation wao watakuambia kua chukua Moja au laaaKwaiyo kwenye kuripoti unachukua barua zote mbili PSRS halafu kuripoti unapeleka zote au unapeleka moja
Ooh Basi vizuriHivyo vitu kama vitatokea pamoja na siku Moja pale ofisini watakupa utaratibu utawaeleza situation wao watakuambia kua chukua Moja au laaa
Nilidhani hili niliona peke yangu, kumbe na wewe uliliona pia mkuu.Huu mkeka wa MDAs na LGAs wameushusha na kuupandisha upya wameongeza au wamepunguza nn?
Unapeleka moja tu nyingine unaiachaKwaiyo kwenye kuripoti unachukua barua zote mbili PSRS halafu kuripoti unapeleka zote au unapeleka moja
Watu waangalie majina labda yameongezwaNilidhani hili niliona peke yangu, kumbe na wewe uliliona pia mkuu.
[emoji1787]muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jobless unajibless au sio
😂😂😂😂😂Kwamba pdf linakuja hahhhhKuna mdau Instagram anawauliza utumishi Kama Kuna mkeka wa new vacancies wa kufungia mwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2420114
Mie ndo admin wa website hakuna kitu nitaacha ona 🤣🤣🤣🤣🤣 naona mengi sana SEMA nanyamaza tu placement zinawekwa saa Saba usiku huwezi zidownload ni kuview tu ikifika asubuhi hazipo🤣🤣🤣(jokes)Nilidhani hili niliona peke yangu, kumbe na wewe uliliona pia mkuu.
Jobless tutulie PDF linakuja limeshiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba pdf linakuja hahhhh
Humu utasikia tu watu wakisema kuna jamaaIna maana hizi placements hakuna hata mnufaika mmoja kutoka hapa jukwaani?
Yule jamaa unayemsubiri akupigie ile simu, kapoteza simu na barua yako haionekani huko. 😂Mie ndo admin wa website hakuna kitu nitaacha ona 🤣🤣🤣🤣🤣 naona mengi sana SEMA nanyamaza tu placement zinawekwa saa Saba usiku huwezi zidownload ni kuview tu ikifika asubuhi hazipo🤣🤣🤣(jokes)
Venue ziko busy UDOM.Bado najiuliza kwanini hamna written
Duh hii mpyaVenue ziko busy UDOM.
😂😂😂😂😂Pdf lakufungia mwakaJobless tutulie PDF linakuja limeshiba [emoji23]
Sidhani kama ndo sababuVenue ziko busy UDOM.
Wanaogopa tutawuliza habari za STATUSIna maana hizi placements hakuna hata mnufaika mmoja kutoka hapa jukwaani?