Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂hahhhh najua wengi tutapata hapa lakini hizi feedback zitawasaidia wengine wanaokujaNdio ndio mzee wa status ,utasemaga ukwel ulipata au ulikosa au ulikuwa kweny kanzi data😀😀😀
True😂😂😂😂😂hahhhh najua wengi tutapata hapa lakini hizi feedback zitawasaidia wengine wanaokuja
😂😂😂😂😂😂Hiyo ya TRA huo ni mkeka wa taifa aseehLitakuwa pdf la MDAs &LGAs na TRA nazani ndio mikeka mikubwa ya betting😀😀
Kabisa kabisa maana najua tukishapata hapa sidhani kama tutakuwa tunatembelea humu sana ilikuwasaidia wengine kwahiyo unapofika hatua Fulani ukaivua ni vizuri tulete feedback na wengine wapite humoTrue
Mkeka unaokusanya tz nzima kweny utafutaji sio poa aisee utakuta jumla walioitwa 50,000😂😂😂😂😂😂Hiyo ya TRA huo ni mkeka wa taifa aseeh
Sawa sawa mzeeKabisa kabisa maana najua tukishapata hapa sidhani kama tutakuwa tunatembelea humu sana ilikuwasaidia wengine kwahiyo unapofika hatua Fulani ukaivua ni vizuri tulete feedback na wengine wapite humo
😂😂😂😂😂Kuombeana muhimu na kukosa pia ni Jambo la kawaida tu siku yako inakuwa bado mbona sisi tuliendaga na Mwifwa tukakandwa kwenye preliminary stage(written) hata kwenye group stage (oral) hatukufika tukarudi hapa tukasema😂🤣🤣Chochote kitakachokuja kwakweli ntasema,kukosa pia sio dhambi hapa pazuri tunapena moyo na experience za sisi tunaotangulia zitasaidia sana wengine.ila mniombee nipate
Safi ukiongea na watu wanakupa experience na inakupa moyo wa kupambana zaidi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapo kwenye grid hapo daah, umenikumbuka kuna siku niko zangu site nimeji attach wakaja OSHA, wakatuuliza na kuchukua detail kisha tukawauliza walikuwa wamepaki ndinga Kali nje pale, walikuwa inspection officer na environment officer wanakagua sites, nikawa najisemea huu mrija huu ni suala LA muda tu, nikatoka nje nikaongee na dereva maana wao walikuwa washamalizana nasi wameenda site jirani, nikakutana na kijana mdogo tu kwenye ndinga anawasubiri jamaa wamalize, ilikuwa kama saa 10 hivi jioni. Na walikutana mmoja katoka mkoa huu na mwingine mkoa ule wamekutanishwa kikazi na wanafanya kikanda, kwasababu wako na operation hiyo.
Jamaa wamenawawiri mkaguzi mkubwa na kijana mmoja mdogo tu nadhani ni mlamba asali mpya, nikijifunza mengi kuhusu OSHA, lkn pia ilinipa Hamasa zaidi ya kuutafuta huu mtambo WA gridi ya taifa ya asali km mdau alivyoutambulisha.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
🤣🤣👏👏👏👏😂😂😂😂😂Kuombeana muhimu na kukosa pia ni Jambo la kawaida tu siku yako inakuwa bado mbona sisi tuliendaga na Mwifwa tukakandwa kwenye preliminary stage(written) hata kwenye group stage (oral) hatukufika tukarudi hapa tukasema😂
😂😂😂😂Kama NAOTMkeka unaokusanya tz nzima kweny utafutaji sio poa aisee utakuta jumla walioitwa 50,000
Huwa inatupa moyo sana unapokutana na kijana wakawaida tu anakula asali kwenye pipaSafi ukiongea na watu wanakupa experience na inakupa moyo wa kupambana zaidi
Wanajua sehem zenye mrija mzuri lazima watu wapambane kupata😂😂😂😂Kama NAOT
😀😀 Hatar sana bossH
Huwa inatupa moyo sana unapokutana na kijana wakawaida tu anakula asali kwenye pipa
Sema baraka za Mungu huwa hazitabiriki aseeh daaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapo kwenye grid hapo daah, umenikumbuka kuna siku niko zangu site nimeji attach wakaja OSHA, wakatuuliza na kuchukua detail kisha tukawauliza walikuwa wamepaki ndinga Kali nje pale, walikuwa inspection officer na environment officer wanakagua sites, nikawa najisemea huu mrija huu ni suala LA muda tu, nikatoka nje nikaongee na dereva maana wao walikuwa washamalizana nasi wameenda site jirani, nikakutana na kijana mdogo tu kwenye ndinga anawasubiri jamaa wamalize, ilikuwa kama saa 10 hivi jioni. Na walikutana mmoja katoka mkoa huu na mwingine mkoa ule wamekutanishwa kikazi na wanafanya kikanda, kwasababu wako na operation hiyo.
Jamaa wamenawawiri mkaguzi mkubwa na kijana mmoja mdogo tu nadhani ni mlamba asali mpya, nikijifunza mengi kuhusu OSHA, lkn pia ilinipa Hamasa zaidi ya kuutafuta huu mtambo WA gridi ya taifa ya asali km mdau alivyoutambulisha.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kabisa kk, hizi shida ni za muda tu, kuna taasisi ukiingia unakula per diem za kutosha, maana jamaa walikuwa extra dutySafi ukiongea na watu wanakupa experience na inakupa moyo wa kupambana zaidi
Kabisa tuombe uzima, our day is coming soonSema baraka za Mungu huwa hazitabiriki aseeh daaah