Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤣🤣Chochote kitakachokuja kwakweli ntasema,kukosa pia sio dhambi hapa pazuri tunapena moyo na experience za sisi tunaotangulia zitasaidia sana wengine.ila mniombee nipate
😂😂😂😂😂Kuombeana muhimu na kukosa pia ni Jambo la kawaida tu siku yako inakuwa bado mbona sisi tuliendaga na Mwifwa tukakandwa kwenye preliminary stage(written) hata kwenye group stage (oral) hatukufika tukarudi hapa tukasema😂
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapo kwenye grid hapo daah, umenikumbuka kuna siku niko zangu site nimeji attach wakaja OSHA, wakatuuliza na kuchukua detail kisha tukawauliza walikuwa wamepaki ndinga Kali nje pale, walikuwa inspection officer na environment officer wanakagua sites, nikawa najisemea huu mrija huu ni suala LA muda tu, nikatoka nje nikaongee na dereva maana wao walikuwa washamalizana nasi wameenda site jirani, nikakutana na kijana mdogo tu kwenye ndinga anawasubiri jamaa wamalize, ilikuwa kama saa 10 hivi jioni. Na walikutana mmoja katoka mkoa huu na mwingine mkoa ule wamekutanishwa kikazi na wanafanya kikanda, kwasababu wako na operation hiyo.
Jamaa wamenawawiri mkaguzi mkubwa na kijana mmoja mdogo tu nadhani ni mlamba asali mpya, nikijifunza mengi kuhusu OSHA, lkn pia ilinipa Hamasa zaidi ya kuutafuta huu mtambo WA gridi ya taifa ya asali km mdau alivyoutambulisha.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Safi ukiongea na watu wanakupa experience na inakupa moyo wa kupambana zaidi
 
Sema baraka za Mungu huwa hazitabiriki aseeh daaah
 
Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
 
Back
Top Bottom