Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
Kweli huu mwezi unaisha kwa placements
 
Aisee mungu ajalie tuwepo ktk hilo ppdf🤲🤲
 
😂😂😂😂😂
 
Wakuu Hivi mtu ukiwa na degree mbili yaani bachelor degree ya accounting, bachelor degree ya business administration pamoja na cheti Cha udereva kutoka VETA. Hapo unajazaje infor zako za ajira portal, maana hapo Kuna kazi za aina tatu ambazo zote unaweza kuzifanya. Mfumo wa ajira portal Unaruhusu kweli?
 
Kazi ikija ya bachelor Fulani unaiedit pale iendae na ile nyingine then unaapply tu mzee hata kama una degree mbili tofauti
 
Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
Kama sina box huko posta je[emoji15]
 
Wanaogopa mtaanza kuwakopa nauli za Kwenda Dom ,mwenyew namsubir Meck pro nimkope mshahara wake wa kwanza maana jamaa ameshaunganishwa kwenye grid ya asali ya Taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi TANESCO ndio kwamba hamna uhaba wa wahandisi na watumishi wengine au sio ? , Maana kimya muda mrefu sana .
Hivi Tanzania Geothermal development company (TGDC) subsidiary ya TANESCO wameshatoa selection Kwa ajili ya interview ?
Mwaka jana mwezi wa kumi walitoa tukaaply ila mpaka Leo Iko received tu... Sjui shida ni nn
 
Back
Top Bottom