Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Kweli huu mwezi unaisha kwa placementsMie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya