πππππHahhhhhh Kaka weekend tunajaribu kufanya maagizo yakuujaza ulimwenguKama vile namwona mwanangu wizy katulia tulia πππ
Mtoto anataka huduma hajui kuhusu 'jobless'πππππHahhhhhh Kaka weekend tunajaribu kufanya maagizo yakuujaza ulimwengu
πππππKabisa lazima ninunue kilichokuwa kinanitesa aseeh afu na sitaki kupangiwa matumizi ya pesa zangu kudadeki ,jobless nipo kwenye Subaru piga horn nyingi sana njiani na kuipost sana status ,usipo view nakutumia picha inbox ππππMara paaap wote tumelamba asali! Lazima tukutane tuone Subaru ya wizzy
πππππNiliambiwa nikimzalisha mtu huyo mtoto atakula degree yangu, aseeh nikachokaaaMtoto anataka huduma hajui kuhusu 'jobless'
πππππ Jobless wenzangu mngenipigia pande kwa Prok nijibebee mwanasheriaπWakili huyu labda anakaribia kujifungua ( JOKE)
Mzee hata bando lakuwa online hatuna sasa tutakuwaje visible??ππ
ππππMuhimu sana hiyo Nitajenga nikistaafuNunua Subaru mbili, moja yake
Mzee hata bando lakuwa online hatuna sasa tutakuwaje visible??ππ
Unadhani tunapenda kuwepo mzee?ni hizi interview na placement ndo zinatulazimu kuweka bando hata kwakukopambona JF tupo sana mkuu!?
Unadhani tunapenda kuwepo mzee?ni hizi interview na placement ndo zinatulazimu kuweka bando hata kwakukopa
=Kutokukosa dodoma
sijakuelewa masta=Kutokukosa dodoma
Hapo labda hiyo ya knowledge tu
Hapo labda hiyo ya knowledge tu
sijakuelewa masta
hizo ni za muhimuKuhudhuria pepa za psrs