Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
Unamaanisha sèrikalini au kazi kama kazi, serikalini mwaka wa saba huu am kip trying peupe tena mwalimu kabisa mwenye ka bachelor..Serikali inipe kazi mimi kabisaa nisiekua na ndugu mkubwa labda iwe ndoto, ila huku mtaani kazi zipo japo zinakatisha tamaaUmeshapata kazi mkuu?