Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwahiyo wakuu tukubaliane hapa mtu akipata ni kimya kimya au sio, maana watu kuuliza maswali munaulizaga sana tu ikija umepata unakaa kimya
Wana wa humu Siyo wala nini,Kuna kina sisi na wenzetu tukitokaga huku tuna share hadi maswali ya written na oral...ila Kuna wenzetu.wakipata kimya.Sasa hivi Kila mtu apambane na hali yake...
 
Juzi Niliona Mjadala Kuhusu Kuitwa Taasisi 2 Tofauti.
Kuna Boy Aliwaha kufany usaili TRC mwaka Jana Mwishoni.
Pia Alifanya usaili wa TPA mwaka huu Post Ya Artisan.
TRC wakamwita kazini akafata Barua Pspr Na Kuanza Kazi Ila Mshahara Kiduchu. Boy Aliniambia Anakula Box 3 na Ushee Na Kila K2 Anajitegemea Wakati Akisherekea Kuingia kwny Mrija Wa Asali., Upande wa Pili Anasononeka Kulamba Asali Kwa Kiwango Kidogo
TPA placement ikaja Kutoka kwny Ule mkeka pia akiwepo.
Akauliza Wadaub wa TPA Huko Mrija Unatema Kwa Kiwango Gani.
Boy To Man akambiwa mshahara Hautofautian sana ila kule kuna Allowance nyingi ela ya usafiri, Kodi, na mengine plus Overtime So Wanapata zaidi.
Akanipigia Simu Kuniuliza Mkakati Wa Kufanya Aende PSPR Kufata Barua Then Asepe TPA.
Barua alipewa n PsPr akariport TPA Akafany Vipimo.
Cheque No Ya Hazina Ndo ilikuja Kumtemesha Ndoano.
Ndoto Ikapepea Yupo TRC Anaendelea Na Majukumu
Angewaambia kuwa ni mwajiriwa hivyo wasingemtengenezea cheki namba mpya bali angechukua hiyo barua ya TPA toka PSRS zen angeandika barua kupitia kwa boss wake wa sasa TRC kwenda UTUMISHI ili ahamie wamwboshe toka taasisi A kwenda taasisi B
 
Hapo ingewezekana kama angeenda kwa style ya transfer otherwise hutoboi hata kama umepata mirija mitatu ya asali
Swala dogo sana hili kama wewe ni public servant ukipata ajira mpya lazima uombe kibali kwa katibu mkuu UTUMISHI. Naposema utumishi namaanisha wizara ya itumishi na sio psrs wengi wanachanganya kati ya psrs na utumishi.
 
Wana wa humu Siyo wala nini,Kuna kina sisi na wenzetu tukitokaga huku tuna share hadi maswali ya written na oral...ila Kuna wenzetu.wakipata kimya.Sasa hivi Kila mtu apambane na hali yake...
Asaivi kimya kimya kila mtu apambana anavyojua ukipata nikupotea tu kama radi maana tunaoshare experience wachache lakini wengi wanatuchora tu😬😬😬😬
 
Angewaambia kuwa ni mwajiriwa hivyo wasingemtengenezea cheki namba mpya bali angechukua hiyo barua ya TPA toka PSRS zen angeandika barua kupitia kwa boss wake wa sasa TRC kwenda UTUMISHI ili ahamie wamwboshe toka taasisi A kwenda taasisi B
Bado hajathibitishwa kazini tatizo,alafu boss kukusainia barua ili uhamie kwingine napo ni kipengele
 
Back
Top Bottom